Sijui niite bahati au nini hii?

Wanaume tunapitia mambo mengi sana, usikubali kuupokea mzigo wa mwanaume mwenzio kirahisirahisi hivyo..............
 
Sawa sawa mkuuu
Mwamke huyo haujamteka kuja kumbaka ghetton kwako, kaja kwa utashi na hiari yake binafsi. unaanzaje kupata hofu?! Ww mshikishe adabu kwa kumchapia mkia wa kenge. Et Mwanaume smart, unaanzaje kwenda kupigana na Wanaume wenzio kwaajil ya Mwanamke mzinifu asiye kutii wala kukuheshim?! Utapigana na Wanaume wangapi au utafumania mara ngapi?!
 
Kama una nyota ya mende tafadhali usijaribu
 
Vijana ambao hawaja owa mara nyingi hujiona mashujaa, rijali aka mandiko hasa inapotokea kutembea na mke mtu.
Hakuna sifa wala shujaa mbele ya mke wa mtu kijana.
Mara nyingi anayejiona bingwa wa kufanya mwisho wake yeye pia hufanywa na kuishi kulia lia.
Acha mke wa mtu labda kama una utaka.
 
Kudadadeki, ushaozwa ndoa ya mkeka mkuu. Huyo mapa kuondoka kwako sijuwi labda Yesu afufuke upya.
 
Kwa taarifa yako, wanaotekwa na kukutwa wamekufa misituni wengi wao huwa wamechukua wake za watu.

Mimi sikuombei utekwe bali ukamatwe upigwe kiboga, utobolewe macho na ukatwe masikio yote then wakuache ukafie mbele mwenyewe kwa kunywa sumu.
 
Hata single mothers nao ni makombo Mkuu🥴
 
Huyo mwanamke atakuwa zao la single mother,
Anapata wapi nguvu ya kukuambia umuandalie chakula hata aibu Hana!
 
Nenda kasikilize wimbo wa JAIVA_MTOTO KAUTAKA then sikiliza kwa makini utapata majibu.

NB.
Kasome mathayo 7:17/19
 
Ningejua huja baadae....hakuna kitu kibaya kama kula wake za watu,kumbuka hata swala hula majani lakini na yeye huliwa na simba!
 
Mpuuze ujue siku utakuja kuoa mkeo ataliwa hivyohivyo,ili kuvunja hiyo circle mpuuze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…