Mstoiki
JF-Expert Member
- Oct 9, 2020
- 4,365
- 8,384
Achana na wake za watu mkuu, hiyo sio bahati hayo ni Matatizo yanayokuja kwa njia ya kufurahisha .Hamna alikuwa ananikaziaa sana leoo mwenywee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Achana na wake za watu mkuu, hiyo sio bahati hayo ni Matatizo yanayokuja kwa njia ya kufurahisha .Hamna alikuwa ananikaziaa sana leoo mwenywee
Mwamke huyo haujamteka kuja kumbaka ghetton kwako, kaja kwa utashi na hiari yake binafsi. unaanzaje kupata hofu?! Ww mshikishe adabu kwa kumchapia mkia wa kenge. Et Mwanaume smart, unaanzaje kwenda kupigana na Wanaume wenzio kwaajil ya Mwanamke mzinifu asiye kutii wala kukuheshim?! Utapigana na Wanaume wangapi au utafumania mara ngapi?!Sawa sawa mkuuu
Hali iko hivi: kuna mwanamke mwenye umri wa miaka 28, mke wa mtu, ambaye tumekuwa tukichati naye. Aliniambia kuwa atanipa penzi muda ukifika, nami nikakubali. Baada ya hapo, nilijikita kwenye mambo yangu, lakini nikipata nafasi humjulia hali. Alinieleza kuwa mumewe anampa changamoto sana kwa kuwa mtu wa wanawake wengi, nami nikamshauri avumilie.
Leo saa moja aliniita kwa simu na kusema kuwa anakuja kulala kwangu, akidai kuwa mumewe amemkera sana. Mtoto wake ameacha kwa dada yake na anasema atakamata bodaboda kuja. Ameomba nimpokee na hata nimwandalie chakula. Sasa niko njia panda; nimkaribishe au nimpuuze? Tafadhali, naomba ushauri wenu.
Vijana ambao hawaja owa mara nyingi hujiona mashujaa, rijali aka mandiko hasa inapotokea kutembea na mke mtu.Hali iko hivi: kuna mwanamke mwenye umri wa miaka 28, mke wa mtu, ambaye tumekuwa tukichati naye. Aliniambia kuwa atanipa penzi muda ukifika, nami nikakubali. Baada ya hapo, nilijikita kwenye mambo yangu, lakini nikipata nafasi humjulia hali. Alinieleza kuwa mumewe anampa changamoto sana kwa kuwa mtu wa wanawake wengi, nami nikamshauri avumilie.
Leo saa moja aliniita kwa simu na kusema kuwa anakuja kulala kwangu, akidai kuwa mumewe amemkera sana. Mtoto wake ameacha kwa dada yake na anasema atakamata bodaboda kuja. Ameomba nimpokee na hata nimwandalie chakula. Sasa niko njia panda; nimkaribishe au nimpuuze? Tafadhali, naomba ushauri wenu.
Kudadadeki, ushaozwa ndoa ya mkeka mkuu. Huyo mapa kuondoka kwako sijuwi labda Yesu afufuke upya.Hali iko hivi: kuna mwanamke mwenye umri wa miaka 28, mke wa mtu, ambaye tumekuwa tukichati naye. Aliniambia kuwa atanipa penzi muda ukifika, nami nikakubali. Baada ya hapo, nilijikita kwenye mambo yangu, lakini nikipata nafasi humjulia hali. Alinieleza kuwa mumewe anampa changamoto sana kwa kuwa mtu wa wanawake wengi, nami nikamshauri avumilie.
Leo saa moja aliniita kwa simu na kusema kuwa anakuja kulala kwangu, akidai kuwa mumewe amemkera sana. Mtoto wake ameacha kwa dada yake na anasema atakamata bodaboda kuja. Ameomba nimpokee na hata nimwandalie chakula. Sasa niko njia panda; nimkaribishe au nimpuuze? Tafadhali, naomba ushauri wenu.
Kwa taarifa yako, wanaotekwa na kukutwa wamekufa misituni wengi wao huwa wamechukua wake za watu.Hali iko hivi: kuna mwanamke mwenye umri wa miaka 28, mke wa mtu, ambaye tumekuwa tukichati naye. Aliniambia kuwa atanipa penzi muda ukifika, nami nikakubali. Baada ya hapo, nilijikita kwenye mambo yangu, lakini nikipata nafasi humjulia hali. Alinieleza kuwa mumewe anampa changamoto sana kwa kuwa mtu wa wanawake wengi, nami nikamshauri avumilie.
Leo saa moja aliniita kwa simu na kusema kuwa anakuja kulala kwangu, akidai kuwa mumewe amemkera sana. Mtoto wake ameacha kwa dada yake na anasema atakamata bodaboda kuja. Ameomba nimpokee na hata nimwandalie chakula. Sasa niko njia panda; nimkaribishe au nimpuuze? Tafadhali, naomba ushauri wenu.
Hata single mothers nao ni makombo Mkuu🥴STUPID! Nyege ndio zinakufanyia maamuzi mkuu. Umeona uweke rehani Marinda yako kisa UCHI.
Mtu isikufaa akili yako, utakudhuru Ujinga wako.
Be a Man, kulomba wake za watu ni udhaifu. Wanawake single wamejaa mtaani, kwanini ukale makombo ya kidume mwenzio. Huwezi kutongoza?
Kuna tofauti kubwa kati ya kununua gari iliyotumika (mtumba) na kununua gari ya wiziHata single mothers nao ni makombo Mkuu🥴
As far as adultery is concerned there is no difference at all!Kuna tofauti kubwa kati ya kununua gari iliyotumika (mtumba) na kununua gari ya wizi
Mpuuze ujue siku utakuja kuoa mkeo ataliwa hivyohivyo,ili kuvunja hiyo circle mpuuzeHali iko hivi: kuna mwanamke mwenye umri wa miaka 28, mke wa mtu, ambaye tumekuwa tukichati naye. Aliniambia kuwa atanipa penzi muda ukifika, nami nikakubali.
Baada ya hapo, nilijikita kwenye mambo yangu, lakini nikipata nafasi humjulia hali. Alinieleza kuwa mumewe anampa changamoto sana kwa kuwa mtu wa wanawake wengi, nami nikamshauri avumilie.
Leo saa moja aliniita kwa simu na kusema kuwa anakuja kulala kwangu, akidai kuwa mumewe amemkera sana. Mtoto wake ameacha kwa dada yake na anasema atakamata bodaboda kuja.
Ameomba nimpokee na hata nimwandalie chakula. Sasa niko njia panda; nimkaribishe au nimpuuze? Tafadhali, naomba ushauri wenu.