G
Nimehairisha kuuza ila naona moyo unauma kwasababu nahis nimepigwa beiTangaza kuuza bila kuweka hiyo historia, watu watatia mashaka, simply put NAUZA KIWANJA CHANGU KIBAHA KWA MFIPA
Nimehairisha kuuza ila naona moyo unauma kwasababu nahis nimepigwa bei
Ndo bei zakeNimehairisha kuuza ila naona moyo unauma kwasababu nahis nimepigwa bei
We jamaa hujui unataka nini ..Nimehairisha kuuza ila naona moyo unauma kwasababu nahis nimepigwa bei
Duh aisee huku Duniani inabidi uwe na roho ngumuSQ meter 513 kwa 5.5 mil Kibaha umepigwa rafiki yetu!
Usijilaumu Sana tayari ni kosa umeshafanya relax Kila binadamu anakosea kwa namna yake!
Mwenzako jana katapeliwa mil 5 insta kwa inshu za Forex!
Lakini kule ni nje ya mji jamaniNdo bei zake
mimi ambacho nimekuwa interested nacho ni kufahamu ulipoipeleka ile milion moja iliyobakiNilikua na 12M, nilikuwa natafuta kiwanja, nimetafuta sana hadi nilipopata huko mkoa wa pwani sehemu inaitwa kibaha kwa mfipa.
Nikapata kiwanja cha kwanza kina sq merter za mramba 513 nikalipia tsh.5,500,000 na kingine kina sq merter 620 hiki nililipia 5,000,000 kamili
Hivi vyote vipo kwa mfipa kimoja kipo mtaa wa galagaza na kingine kipo sijui mtaa gani ule karibu na kiwanda chakuku karibu na zahanati ya galagaza
Naona kama nilikurupuka nahisi nimenunua nje ya mji alafu kwa gharama kubwa, huenda ningepata vya 3m vizuri kabisa
Hiki ndicho kinaniumiza, najaribu kutafuta mteja nimuuzie hicho kimoja nirudishe hela yangu nifanyie mambo mengine hata sipati mteja
Hivi vyote nimevinunua miezi 3 iliyopita.
Kila siku nazidi kuumia yaani moyo unaniuma nahisi nimepigwa
Hivi ni kweli ardhi inapanda thamani?
Tafuta Jirani Na Shule Ya Uongozi Ya Mwalimu NyerereNimehairisha kuuza ila naona moyo unauma kwasababu nahis nimepigwa bei
Nimehairisha kuuza kwasababu naona nitauza kwa bei ileile niliyonunulia hivyo ni kama nitakua nimepoteza muda na kuoata hasaraWe jamaa hujui unataka nini ..
Huna akiliNilikua na 12M, nilikuwa natafuta kiwanja, nimetafuta sana hadi nilipopata huko mkoa wa pwani sehemu inaitwa kibaha kwa mfipa.
Nikapata kiwanja cha kwanza kina sq merter za mramba 513 nikalipia tsh.5,500,000 na kingine kina sq merter 620 hiki nililipia 5,000,000 kamili
Hivi vyote vipo kwa mfipa kimoja kipo mtaa wa galagaza na kingine kipo sijui mtaa gani ule karibu na kiwanda chakuku karibu na zahanati ya galagaza
Naona kama nilikurupuka nahisi nimenunua nje ya mji alafu kwa gharama kubwa, huenda ningepata vya 3m vizuri kabisa
Hiki ndicho kinaniumiza, najaribu kutafuta mteja nimuuzie hicho kimoja nirudishe hela yangu nifanyie mambo mengine hata sipati mteja
Hivi vyote nimevinunua miezi 3 iliyopita.
Kila siku nazidi kuumia yaani moyo unaniuma nahisi nimepigwa
Hivi ni kweli ardhi inapanda thamani?
Hadi nimecheka, niliifanyia matumizi menginemimi ambacho nimekuwa interested nacho ni kufahamu ulipoipeleka ile milion moja iliyobaki
katika mahesabu yako hapo nikiongea kama mkaguzi wa ndani wa Jf ninaona umetumia kiasi
kisichopungua milion 11 kati ya milion 12. swali hiyo milion moja iliyobakia umeipeleka wapi ?
Nje SanaLakini kule ni nje ya mji jamani
Bei zimepanda sana maana Dar kumejaa watu sasa hivi wanakimbilia njia ya Kibaha na BagamoyoSQ meter 513 kwa 5.5 mil Kibaha umepigwa rafiki yetu
Kutoka morogoro road hadi site ni Km 6 au 5 boda nauli 2000 nikama dakika 10Huna akili
Kwa mfipa hapo pape miaka mitano mbele utakuja kujishukuru, tena kama ni karibu na morogoro road basi uneula zaidi
Halafu unachopitia ni psycholigically proved after buy effect hasa kw kitu ambaco hakina immediate return tena hasa kwa watu ambao hawajazoea kuspend hela kununua vitu vya gharama
Ushauri wangu em jizoeze kununua vitu vya gharama ambavyo hujali, kununua kitu cha 6m iwe kawaida kwako, ila kabla ya hapo hakikisha kwanza una mfereji wa hela tusije kukuzika kwa presha ume kazi max na mods wake kukuwekea badge ya RIP.
Ulikuwa na haraka gani mkuu..Duh aisee huku Duniani inabidi uwe na roho ngumu