Sijui nilikurupuka au nilikosa mtu wa kuniongoza na sasa sijui nifanyeje?

  • Thread starter Thread starter guest-1788672427
  • Start date Start date
  • Tags Tags
    mtu
Nahisi ulikua na haraka sana.

Nina experience na kwa Mfipa.

Hata hivyo kwa uliponunua ni umenunua sehemu ambayo imeendelea kuzidi upande mwingine wa kwa mfipa.

Ni eneo potential ila kwa amount hiyo kidogo ni kama madalali walikua wengi.
 
Nahisi ulikua na haraka sana.

Nina experience na kwa Mfipa.

Hata hivyo kwa uliponunua ni umenunua sehemu ambayo imeendelea kuzidi upande mwingine wa kwa mfipa.

Ni eneo potential ila kwa amount hiyo kidogo ni kama madalali walikua wengi.
Hata hakukua na dalali
 
Umevipata kupitia madalali?

Shukuru kama hujatapeliwa tu maana hali ni mbaya!

NB:Kinachouma ni ile 10% ya kuandikishana serikali za mtaa!! Sijajua iliwekwa kwa vigezo gani?
Hapana sijanunua kwa madalali ni kwa muhusika mwenyewe mbele ya mwanasheria wake na mqanasheria alimlipa yeye mwenyewe hatujauziana serikali za mitaa
 
Pole Sana , tofauti ya thamani ktk ardhi Kwa mil 1 ktk manunuzi siyo kitu ikiwa Tu taarifa ulizo nazo Za kiumiliki Ni sahihi Kwa asilimia 100 + uwepo WA miundombinu ya kisasa


Inawezekana Kuna vya Pesa hiyo unayotaka,lakini ulishawahi experience viwanja ambavyo Barabara lazima uombe,alafu we una hatuna 20/20 mil 3.5 alafu Jilani yako 20/10 Million mbili, !? Yaani ilimradi vurugu! Tulia hujapata hasara, IPO siku utanikumbuka

NB, offer yangu Iko pale pale 5 days
 
Viwanja vyako vimepimwa? Kibaha siyo mbali
 
Ahsante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…