Sijui nimepatwa na shida gani wakuu, sifurahii tendo la ndoa

jobless una pata wapi nguvu ya kuwa na mpenzi πŸ€£πŸ˜‚
Kaka Yan Kila nikiwaza kuwa na mpenzi alarm inapiga kichwan lazima niwe na kipato zaidi it means kwa si nilikwambia kwenye kibarua changu cha kupiga debe naweza piga 30k kwa day 🀣Ila sahv hali sio nzuri nimeshuka hadi 15k Sasa ili nianze kufikiria kuwa na mpenz labda nimiliki 1.8M
 
Tunaochepuka unafikiri hatuna akiri eeh, fanya ucheze na mechi za nje zina mzuka wake.
 
Dah, hilo tatizo
Jaribu kugoogle unaweza kupata solution, vipi ulikuwa mzee wa x sana ama mzee wa nyeto?
ukiyachukulia serious sana mambo ya humu jukwaani, unaweza ukaingizwa chaka,mimi kwa upande wangu huwa nataka coment yangu ipate like nyingi,hasa zile za kicheko ndo furaha yangu, haya nilokwambia hayana uhalisia ktk maisha yangu halisi cc makaveli10
 
Nilipe ili nimwage like kama njugu kwenye comments zako zote.
 
Una madeni unayodaiwa? au mkeo anasura ya mjomba tuanzie hapo kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…