Sijui niseme nini lakini Mungu alikuwa upande wetu jana.

Sijui niseme nini lakini Mungu alikuwa upande wetu jana.

Ajali huwa zipo na nyingi ni uzembe na nyie ni mfano wa hao wazembe na wapumbavu sijui mngekufa want JF wenzako tungejuaje wafikishie ujumbe wapumbavu uliokuwa nao waambie don't drink and drive
 
Daktari anamtibu mgonjwa ila sifa zote zinaenda kwa Mungu.

Kaa ukijua baraka za Mungu haziji kwako moja kwa moja, kuna watu wameandaliwa ili baraka zako zipite kwao kwanza.

Sijaona mahali umempongeza dereva.

Ni sawa na ajali ikiua msanii pamoja na wenzake, focus itakuwa kwenye mauti ya msanii tuu utadhani wale wengine waliokufa ni mbwa.
Kampongeza dereva kwa kupeleka gari mtaroni nadhani hujasoma vizuri !.
Kuhusu madaktari kupewa sifa acha iendelee hivyohivyo maana na wao wanapenda sifa sana lakini mgonjwa akifa lawama wanazipeleka kwa Mungu eti " Tulimpenda lakini Mungu kampenda zaidi KAZI YA MUNGU HAINA MAKOSA!"
Yaani mgonjwa akipona ni kazi ya daktari na mgonjwa akifa ni KAZI YA MUNGU!. Hii sio sawa!.
 
Kampongeza dereva kwa kupeleka gari mtaroni nadhani hujasoma vizuri
Ame-edit uzi baada ya Mm kuandika hy Comment, kuna comment ameniambia ataongezea hy point ya kumshukuru dereva.
Kuhusu madaktari kupewa sifa acha iendelee hivyohivyo maana na wao wanapenda sifa sana lakini mgonjwa akifa lawama wanazipeleka kwa Mungu eti " Tulimpenda lakini Mungu kampenda zaidi KAZI YA MUNGU HAINA MAKOSA!"
Yaani mgonjwa akipona ni kazi ya daktari na mgonjwa akifa ni KAZI YA MUNGU!. Hii sio sawa!.
Lakin nia ya madaktari ni kuokoa uhai wa mgonjwa na sio kumuua, hy ndo Point yangu.
Ishu ya kufa n nje ya uwezo wao, ndo hapo tunasema n kazi ya Mola.
 
Ajali huwa zipo na nyingi ni uzembe na nyie ni mfano wa hao wazembe na wapumbavu sijui mngekufa want JF wenzako tungejuaje wafikishie ujumbe wapumbavu uliokuwa nao waambie don't drink and drive
Dah! Hii hatutarudia tena mkuu😢😢
 
Back
Top Bottom