Binti Sayuni03
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 1,075
- 1,913
- Thread starter
- #101
Asante sana mkuu, hata bado siamini😢😢Nilishuhudia hiyo ajali kumbe ndo wewe, poleni sana!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante sana mkuu, hata bado siamini😢😢Nilishuhudia hiyo ajali kumbe ndo wewe, poleni sana!
Hakika nimejifunza na sitarudia tena makosaNdio hivyo Binti yangu,tuitumie Hekima na akili haya makundi yamesababisha vijana wengi kuwa vilema,Vigo na ukishachemka hawoni Tena!
Mungu muweza yote, mjuzi wa yote na mwenye upendo wote angekuwepo, isingewezekana kwa ajali yoyote kuwapo.Jana usiku niliandika humu kuwa nipo mbezi, napata vyombo. Sasa mchana watu niliokuwa nao walikuwa wamezianzia pombe tokea mchana, hadi kufika jioni walishalewa.
Tukatoka tukaenda G7 LOUNGE ipo kinyerezi nadhani sasa tulikuwa na magari mawili gari moja la mtu binafsi jingine ni la mtu mwingine lakini la ofisini kwao, sasa mimi nilikaa nyuma kwa hapa upande wa dereva huku kwa dereva kulikuwa na kijana mmoja na dereva, lile gari jingine alipanda mama na mumewe, hawa ni wazazi wa kijana mmoja tuliyekuja nae.
Huyu dereva wetu, ambaye mwenye hii gari ya ofisini kwao alikuwa anaendesha kwa spidi sana, wale niliokaa nao nyuma walikuwa wanamwambia aendelee kupaisha wamechoka kuishi hata wakifa basi, hii ni akili ya pombe ilikuwa. Mimi hapo muda huu moyo wangu haukuwa na amani kabisa.
Yaani gari ilikuwa inatembea kama inapaa😢😢 kufikia pale round about ya mbezi kwenye zile njia za kwenda kinyerezi na kwingineko mbele yetu likatokea fuso limeovateki bajaji kwahiyo likawa linakuja upande wetu na liko spidi ya hatari, aisee hapa nilikiona kifo hiki hapa mbele yetu.
Katika kulikwepa gari dereva akapeleka gari mtaroni, hapa pongezi kwake dereva bila hivyo tulikuwa tunaenda kugonga fuso uso kwa uso. Ilikuwa kama movie hii, kwanza pombe zote ziliisha kichwani, sijaamini mpaka dakika hii kama nimeweza kutoka salama pale, aliyeumia ni mmoja shingoni tu, na gari ndiyo imepata hitilafu. Hili ni jambo la kumshukuru Mungu sana sasa hivi sijui ningekuwa nimekufa au nimeumia. Sina la zaidi ya kusema zaidi ya kumshukuru Mungu.
Nimepata funzo kubwa kuhusu hii ajali hakika nitaendelea kumtukuza Mungu. Pombe siyo nzuri kabisa😢🙌
Muwe na jumapili njema wakuu.
Mungu ni Mwema sana,na anakupenda,Hilo ni somo kwako na ni ushuhuda kwetu pia!Hakika nimejifunza na sitarudia tena makosa
Mkuu Kira miaka mingi nakusoma Kama atheist Ila siku ukikutana na majanga utalitaja jina lake na ukuu wake.....Mungu muweza yote, mjuzi wa yote na mwenye upendo wote angekuwepo, isingewezekana kwa ajali yoyote kuwapo.
Ajali kuwezekana kuwapo ni ushahidi kuwa Mungu huyo hayupo.
Mungu anaruhusu ajali kama hizi kutokea ili kutukumbusha tumrudie yeye tuache maovuMungu muweza yote, mjuzi wa yote na mwenye upendo wote angekuwepo, isingewezekana kwa ajali yoyote kuwapo.
Ajali kuwezekana kuwapo ni ushahidi kuwa Mungu huyo hayupo.
Hakika mkuu tuendelee kumtukuza MunguMungu ni Mwema sana,na anakupenda,Hilo ni somo kwako na ni ushuhuda kwetu pia!
Kukutana na majanga nako pia ni uthibitisho kwamba Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.Mkuu Kira miaka mingi nakusoma Kama atheist Ila siku ukikutana na majanga utalitaja jina lake na ukuu wake.....
Hata Paulo aliitwa Sauli mwanzoniMkuu Kira miaka mingi nakusoma Kama atheist Ila siku ukikutana na majanga utalitaja jina lake na ukuu wake.....
Maovu kuwezekana kufanyika nako ni uthibitisho Mungu huyo hayupo.Mungu anaruhusu ajali kama hizi kutokea ili kutukumbusha tumrudie yeye tuache maovu
Utaacha tuu,huku ni kibinadamu zaidi!Maovu kuwezekana kufanyika nako ni uthibitisho Mungu huyo hayupo.
Angekuwapo, maovu yasingewezekana kufanyika kwa sababu Mungu huyo angeumba ulimwengu ambao maovu hayawezekani kufanyika.
Nitaacha nini?Utaacha tuu,huku ni kibinadamu zaidi!
Nimeelewa vizuri sana, sema sijanena kwa namna unayoitegemea.Hapa naona umeshindwa kuelewa mkuu
Uwepo wako tuu ni udhihirisho wa uwepo wa Mungu, maana kuna mawili kuchagua yupo au hayupo , wewe nawe umechagua fungu lako!Nitaacha nini?
Jibu hoja ya kidhahania, nioneshe unaweza kufanya hoja ya kimantiki iliyozidi ad hominem fallacy.
Jadili hoja, usinijadili mimi.
Uwepo wangu unathibitisha vipi kwamba Mungu yupo?Uwepo wako tuu ni udhihirisho wa uwepo wa Mungu, maana kuna mawili kuchagua yupo au hayupo , wewe nawe umechagua fungu lako!
Nyie mlikuwa hatari aisee😁😁Pole sana aisee, starehe hizi nakumbuka miaka ile nipo chuo tulienda kwenye harusi. Pale clouds maeneo yale kulikuwa na open space walikuwa wanafanyia harusi. Sijui kwa sasa bado lipo aul laah.
Rafiki yetu dada yake anaolewa na alikuwa boss kweli kweli na alichelewa kuolewa.
Sisi tukaunda couple zetu za sare sare mauwa haoooo harusini.
Sasa mwenzetu mmoja alikuwa na gari double cabin zile tukaamua woote tukae nyuma sasa kule nyuma ya gari uwiiii.
Tukawa tunapiga makelele sana yaani ile yaaa uwiiiiiiii kwa nguvu
Magomeni ile tunakunja twende chuo watu wanatushangaa kwa ile mizuka na pombe watu wakaanza kulia kweli. Kwenye mataa pale wanauliza nyie viiipiii watu wanajibu tumefiwa tunaenda Muhimbili aiseeee.
Sasa tumekua tunafamilia wakati si ukutq yamepita yale.
Pombe haina shida.Jana usiku niliandika humu kuwa nipo mbezi, napata vyombo. Sasa mchana watu niliokuwa nao walikuwa wamezianzia pombe tokea mchana, hadi kufika jioni walishalewa.
Tukatoka tukaenda G7 LOUNGE ipo kinyerezi nadhani sasa tulikuwa na magari mawili gari moja la mtu binafsi jingine ni la mtu mwingine lakini la ofisini kwao, sasa mimi nilikaa nyuma kwa hapa upande wa dereva huku kwa dereva kulikuwa na kijana mmoja na dereva, lile gari jingine alipanda mama na mumewe, hawa ni wazazi wa kijana mmoja tuliyekuja nae.
Huyu dereva wetu, ambaye mwenye hii gari ya ofisini kwao alikuwa anaendesha kwa spidi sana, wale niliokaa nao nyuma walikuwa wanamwambia aendelee kupaisha wamechoka kuishi hata wakifa basi, hii ni akili ya pombe ilikuwa. Mimi hapo muda huu moyo wangu haukuwa na amani kabisa.
Yaani gari ilikuwa inatembea kama inapaa😢😢 kufikia pale round about ya mbezi kwenye zile njia za kwenda kinyerezi na kwingineko mbele yetu likatokea fuso limeovateki bajaji kwahiyo likawa linakuja upande wetu na liko spidi ya hatari, aisee hapa nilikiona kifo hiki hapa mbele yetu.
Katika kulikwepa gari dereva akapeleka gari mtaroni, hapa pongezi kwake dereva bila hivyo tulikuwa tunaenda kugonga fuso uso kwa uso. Ilikuwa kama movie hii, kwanza pombe zote ziliisha kichwani, sijaamini mpaka dakika hii kama nimeweza kutoka salama pale, aliyeumia ni mmoja shingoni tu, na gari ndiyo imepata hitilafu. Hili ni jambo la kumshukuru Mungu sana sasa hivi sijui ningekuwa nimekufa au nimeumia. Sina la zaidi ya kusema zaidi ya kumshukuru Mungu.
Nimepata funzo kubwa kuhusu hii ajali hakika nitaendelea kumtukuza Mungu. Pombe siyo nzuri kabisa😢🙌
Muwe na jumapili njema wakuu.
Mngekufa tu wote.Jana usiku niliandika humu kuwa nipo mbezi, napata vyombo. Sasa mchana watu niliokuwa nao walikuwa wamezianzia pombe tokea mchana, hadi kufika jioni walishalewa.
Tukatoka tukaenda G7 LOUNGE ipo kinyerezi nadhani sasa tulikuwa na magari mawili gari moja la mtu binafsi jingine ni la mtu mwingine lakini la ofisini kwao, sasa mimi nilikaa nyuma kwa hapa upande wa dereva huku kwa dereva kulikuwa na kijana mmoja na dereva, lile gari jingine alipanda mama na mumewe, hawa ni wazazi wa kijana mmoja tuliyekuja nae.
Huyu dereva wetu, ambaye mwenye hii gari ya ofisini kwao alikuwa anaendesha kwa spidi sana, wale niliokaa nao nyuma walikuwa wanamwambia aendelee kupaisha wamechoka kuishi hata wakifa basi, hii ni akili ya pombe ilikuwa. Mimi hapo muda huu moyo wangu haukuwa na amani kabisa.
Yaani gari ilikuwa inatembea kama inapaa😢😢 kufikia pale round about ya mbezi kwenye zile njia za kwenda kinyerezi na kwingineko mbele yetu likatokea fuso limeovateki bajaji kwahiyo likawa linakuja upande wetu na liko spidi ya hatari, aisee hapa nilikiona kifo hiki hapa mbele yetu.
Katika kulikwepa gari dereva akapeleka gari mtaroni, hapa pongezi kwake dereva bila hivyo tulikuwa tunaenda kugonga fuso uso kwa uso. Ilikuwa kama movie hii, kwanza pombe zote ziliisha kichwani, sijaamini mpaka dakika hii kama nimeweza kutoka salama pale, aliyeumia ni mmoja shingoni tu, na gari ndiyo imepata hitilafu. Hili ni jambo la kumshukuru Mungu sana sasa hivi sijui ningekuwa nimekufa au nimeumia. Sina la zaidi ya kusema zaidi ya kumshukuru Mungu.
Nimepata funzo kubwa kuhusu hii ajali hakika nitaendelea kumtukuza Mungu. Pombe siyo nzuri kabisa😢🙌
Muwe na jumapili njema wakuu.
Mambo ya kupenda lift. Kwanini usipande hata usafiri wa ummaJana usiku niliandika humu kuwa nipo mbezi, napata vyombo. Sasa mchana watu niliokuwa nao walikuwa wamezianzia pombe tokea mchana, hadi kufika jioni walishalewa.