Sijui unachowaza na unavonifikiria.. Ila nishafanya maamuzi

Emily magnus

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2026
Posts
820
Reaction score
1,505
Nilichojua ni kwamba, hapo kabla ya wiki hii kuanza, ulikuwa hunipendi.
Ila sasa ndani ya wiki hii umeamua kuniweka katika orodha ya vitu na watu ambao huwapendi milele(umenichukia).
Sawa nimekubali.

Nilikupenda sana.. Ila kwa sasa japo sikuchukii, lakini sikupendi. Yaani hata nikija kuwa na ID nyingine, siwezi kuja kuwa na uhusiano wowote ule na wewe. Labda wa kibiashara.

Japo kuanzia sasa, mimi sio adui yako, ila me sio rafiki yako. Na siwezi hata kuwa rafiki yako, kwa sababu tabia, au mfumo wa maisha ulionao, huwezi kuendana na mimi wala mfumo wangu.

Sio kwamba unahitaji upendo wangu, wala wewe bila mimi huwezi. NO, nimeelezea tu hali ilivyo.

Kwa heri.
 
"Humchukii lakini humpendi".

Mkuu, wahenga walisema "Baya lisilo na madhara, ni Jema lisilo na faida". Kuanza mahusiano mapya ni rahisi kuliko kupambania kuyaokoa ambayo yameshakufa.

Vilevile kutokuja kuwa na uhusiano na usiyempenda sio kumnyoosha, you are not that special.

USHAURI, Pole kwa yaliyokupata ila Maisha lazima yaendeleee.
 
Msituchoshe na nyie mnaopendana kimapenzi kupitia Avatars humu.

Back
Top Bottom