hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,381
- 80,393
S
How will you know kuwa amebadilika !?
Mtu anaweza akaigiza tu kuwa amebadilika kumbe he's playing with your Stupid mind
So akibadilika utampa Tena ChiuSawa.
"Kutokuwa na mahusiano na usiyempenda" sio kumnyoosha.
Sio "usiyempenda" ni "uliyempenda"
Huyu nilimpenda. Ila kwa sasa simpendi. Nakama upendo utarudi, basi siwezi kuwa na uhusiano naye, kwa sababu, tabia na mfumo wake wa maisha yake.. Haviendani na mimi. Labda abadilike.
How will you know kuwa amebadilika !?
Mtu anaweza akaigiza tu kuwa amebadilika kumbe he's playing with your Stupid mind