Emily magnus
JF-Expert Member
- Apr 7, 2026
- 820
- 1,505
- Thread starter
- #21
Ok, ila isiwe ya ngono tafadhari.Njo basi tufanye biashara,Labda tutakuwa kama Zamani
Ok, ila isiwe ya ngono tafadhari.Njo basi tufanye biashara,Labda tutakuwa kama Zamani
Amekufunua marinda bila kupenda?Nilichojua ni kwamba, hapo kabla ya wiki hii kuanza, ulikuwa hunipendi.
Ila sasa ndani ya wiki hii umeamua kuniweka katika orodha ya vitu na watu ambao huwapendi milele(umenichukia).
Sawa nimekubali.
Nilikupenda sana.. Ila kwa sasa japo sikuchukii, lakini sikupendi. Yaani hata nikija kuwa na ID nyingine, siwezi kuja kuwa na uhusiano wowote ule na wewe. Labda wa kibiashara.
Japo kuanzia sasa, mimi sio adui yako, ila me sio rafiki yako. Na siwezi hata kuwa rafiki yako, kwa sababu tabia, au mfumo wa maisha ulionao, huwezi kuendana na mimi wala mfumo wangu.
Sio kwamba unahitaji upendo wangu, wala wewe bila mimi huwezi. NO, nimeelezea tu hali ilivyo.
Kwa heri.
Kivipi yaniNaona eeh! Maji mazito kuliko damu ya....
....Au basi.Kamsemee kwa babaake
Eti kumetokea tena nini huko mjini!Hata miezi 2 hujatimiza washakuumiza moyo.!
Kumekucha 😁Nilichojua ni kwamba, hapo kabla ya wiki hii kuanza, ulikuwa hunipendi.
Ila sasa ndani ya wiki hii umeamua kuniweka katika orodha ya vitu na watu ambao huwapendi milele(umenichukia).
Sawa nimekubali.
Nilikupenda sana.. Ila kwa sasa japo sikuchukii, lakini sikupendi. Yaani hata nikija kuwa na ID nyingine, siwezi kuja kuwa na uhusiano wowote ule na wewe. Labda wa kibiashara.
Japo kuanzia sasa, mimi sio adui yako, ila me sio rafiki yako. Na siwezi hata kuwa rafiki yako, kwa sababu tabia, au mfumo wa maisha ulionao, huwezi kuendana na mimi wala mfumo wangu.
Sio kwamba unahitaji upendo wangu, wala wewe bila mimi huwezi. NO, nimeelezea tu hali ilivyo.
Kwa heri.
Kapigwa kibutiEti kumetokea tena nini huko mjini!
Dah maumivu ya kukataliwa na mtu umpendaye yanauma sana.Kapigwa kibuti
Gen z tushazoeaDah maumivu ya kukataliwa na mtu umpendaye yanauma sana.
😆😆😆🙌Amekufunua marinda bila kupenda?
Sawa."Humchukii lakini humpendi".
Mkuu, wahenga walisema "Baya lisilo na madhara, ni Jema lisilo na faida". Kuanza mahusiano mapya ni rahisi kuliko kupambania kuyaokoa ambayo yameshakufa.
Vilevile kutokuja kuwa na uhusiano na usiyempenda sio kumnyoosha, you are not that special.
USHAURI, Pole kwa yaliyokupata ila Maisha lazima yaendeleee.
Mkuu, me ninamacho ya kiroho.Msituchoshe na nyie mnaopendana kimapenzi kupitia Avatars humu.
Nimecheka sn🔥🔥Kitendo cha kuwaza kumuandikia mtu uzi sijui sikupendi ila sikuchukii huko ni kujali na bado yu moyoni mwako
Jifunze kubalance shobo za hisia
Cc Smart911
😁😁😁😁🙌Msituchoshe na nyie mnaopendana kimapenzi kupitia Avatars humu.