Emily magnus
JF-Expert Member
- Apr 7, 2026
- 820
- 1,505
- Thread starter
- #61
Choka mbaya.
Ndo kilichopo kichwani kwa sasa.
Nilijua nimeingia ndani ya fensi. Kumbe nimeingia chaka lisilo lipa.watu mnasiri Emily magnus mbona sikuwahi kuona dalili ya wew kumzimikia mtu humu imekuaje udate kwa siri alf uachike kwa kutangaza?
Enweiiii pole mdogo wangu yatapita ni hali ya mda sawaa eeeh
polee mdogo wangu ila ungesubiri ukue kue kidogo,, hivi ndo yule alokwambia uso umeharibika?Nilijua nimeingia ndani ya fensi. Kumbe nimeingia chaka lisilo lipa.
Sasa naona hisia zilinipeleka puta.
😁😁😁😁Moja ya watu waliolia mpaka machozi yameisha kisa mapenzi, Ni aunt Mahondaw
Sio kwa alwatan!!!Yanauma lkn
Sema ni kujikaza tu🤣
😄😄😄😄😄😄Nishtue medula na makwenzi mpaka akili inikae sawa... hahaha
Hamna.polee mdogo wangu ila ungesubiri ukue kue kidogo,, hivi ndo yule alokwambia uso umeharibika?
Yaan...Imekuja tena mbona gafula
Haya mambo haya...Kumekuchaaaaaaa!!Mbona ghaflaa sanaa??
Aiseee poleee, [emoji23][emoji23][emoji23]
Poleee, [emoji23][emoji23][emoji23]Haya mambo haya...
Acha tu.
Of course haitakuwa hivo mpenzi, trust me🥴Ok, ila isiwe ya ngono tafadhari.