Emily magnus
JF-Expert Member
- Apr 7, 2026
- 820
- 1,505
Njo basi tufanye biashara,Labda tutakuwa kama Zamaniπ₯²siwezi kuja kuwa na uhusiano wowote ule na wewe. Labda wa kibiashara.
Jamaa akinywa sumu wewe ndiyo utakuwa mhusika ujue πNawasindikiza na hii..
View attachment 3592831
Mimi au msanii alieimba wimbo..?Jamaa akinywa sumu wewe ndiyo utakuwa mhusika ujue π
Lakini wewe ndiyo umemwekea hicho kibao πMimi au msanii alieimba wimbo..?
Mi nimeweka watu wasikilize tu...πLakini wewe ndiyo umemwekea hicho kibao π
Ila Mapenzi yanajua kutuvuruga wanadamu
Kuna wakati unaweza kutamani bora kukikata hichi kifanyio kuliko kuishi na stress zisababishwazo nacho π
Umefanya nipitie youtube kuona kiuno kisicho na mfupa cha huyo bintiMi nimeweka watu wasikilize tu...π
Huyo bidada mi namkubali sana!, hata sisi hatudumu hivyo tunavunja mifupa angali meno bado iko....Umefanya nipitie youtube kuona kiuno kisicho na mfupa cha huyo binti
Kweli nyakati hazidumu π
"Humchukii lakini humpendi".Nilikupenda sana.. Ila kwa sasa japo sikuchukii, lakini sikupendi. Yaani hata nikija kuwa na ID nyingine, siwezi kuja kuwa na uhusiano wowote ule na wewe. Labda wa kibiashara.
Alikuwa wa moto sana enzi zakeHuyo bidada mi namkubali sana!, hata sisi hatudumu hivyo tunavunja mifupa angali meno bado iko....
Kuna mtu atakuja kusema "tulikwambia ukatuona wote mazuzu".Hata miezi 2 hujatimiza washakuumiza moyo.!
Nilichojua ni kwamba, hapo kabla ya wiki hii kuanza, ulikuwa hunipendi.
Ila sasa ndani ya wiki hii umeamua kuniweka katika orodha ya vitu na watu ambao huwapendi milele(umenichukia).
Sawa nimekubali.
Nilikupenda sana.. Ila kwa sasa japo sikuchukii, lakini sikupendi. Yaani hata nikija kuwa na ID nyingine, siwezi kuja kuwa na uhusiano wowote ule na wewe. Labda wa kibiashara.
Japo kuanzia sasa, mimi sio adui yako, ila me sio rafiki yako. Na siwezi hata kuwa rafiki yako, kwa sababu tabia, au mfumo wa maisha ulionao, huwezi kuendana na mimi wala mfumo wangu.
Sio kwamba unahitaji upendo wangu, wala wewe bila mimi huwezi. NO, nimeelezea tu hali ilivyo.
Kwa heri.
Naona eeh! Maji mazito kuliko damu ya....Nawasindikiza na hii..
View attachment 3592831