Sijui unachowaza na unavonifikiria.. Ila nishafanya maamuzi

Amekufunua marinda bila kupenda?
 
Kumekucha 😁
Sa si umwambie ye mwenyewe

Ila mapenzi yanauma nyieeπŸ™ŒπŸ˜†
 
Sawa.

"Kutokuwa na mahusiano na usiyempenda" sio kumnyoosha.
Sio "usiyempenda" ni "uliyempenda"
Huyu nilimpenda. Ila kwa sasa simpendi. Nakama upendo utarudi, basi siwezi kuwa na uhusiano naye, kwa sababu, tabia na mfumo wake wa maisha yake.. Haviendani na mimi. Labda abadilike.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…