Sijui unachowaza na unavonifikiria.. Ila nishafanya maamuzi

S So akibadilika utampa Tena Chiu

How will you know kuwa amebadilika !?

Mtu anaweza akaigiza tu kuwa amebadilika kumbe he's playing with your Stupid mind
 
Pole sana na hakuna haja ya kukata tamaa au kubabaika sana na hilo ndugu mdau wa jf,

upside-down kwenye maisha ya relationship ni kawaida sana. Hata hivyo, changamoto uliyokumbana nayo unafaa kuichukulia kama fursa muhimu sana ya kujimodifie, kujisahihisha na kujirekebisha ili kua na mahusiano imara na yenye furaha zaidi huko mbeleni,

hata kama huenda jumuiya ya single mothers and fathers wanaandika tamko la ukaribisho wa members wao wapya wawili šŸ’
 
S
So akibadilika utampa Tena Chiu

How will you know kuwa amebadilika !?

Mtu anaweza akaigiza tu kuwa amebadilika kumbe he's playing with your Stupid mind
Sidhani kama atabadilika kwa ajili yangu, maana ukiacha aliyonayo, ye alikuwa hanipendi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…