Hili ni swali zuri sana.....Salute,
Kuna kitu ukijaribu kukifikiria katika hali ya kawaida tu ni kigumu sana.
Unajaribu kujiuliza hivi miili iliyoungana itaishije?
Watu wameungana pamoja roho tofauti, mungu ana miujiza mikubwa sana.
Hivi katika wale walioungana mmoja akifa mwingine ataishije?
Au mmoja akifa watawazika kwa pamoja?
Mtihani mkubwa sana jamani huu.
Kutoyawaza hakutayafanya yasitokeeTuwaziane mazuri. Nao ni binadamu kama sie
Mkuu hili swala huwa najiuliza kila mara lkn Mungu ana siri nzito.Salute,
Kuna kitu ukijaribu kukifikiria katika hali ya kawaida tu ni kigumu sana.
Unajaribu kujiuliza hivi miili iliyoungana itaishije?
Watu wameungana pamoja roho tofauti, mungu ana miujiza mikubwa sana.
Hivi katika wale walioungana mmoja akifa mwingine ataishije?
Au mmoja akifa watawazika kwa pamoja?
Mtihani mkubwa sana jamani huu.
Kubwa sanaNikweli mkuu, hapa kuna fundisho kubwa sana kwetu
Hivi vitu vinashabihiana kabisa kwa asilimia 100 na Mimi nafikiri kuwa Mungu anafanya hivi ili tupate kujifunza juu ya uwepo wake na uwezo wake.Tuanzie kwa kuumwa, juzi kati waliumwa wote kwa pamoja
Wana mfumo mmoja wa damu mmoja akiwa na tatizo automatically na mwingine analipata so wanakufa pamoja but ni maoni yanguSalute,
Kuna kitu ukijaribu kukifikiria katika hali ya kawaida tu ni kigumu sana.
Unajaribu kujiuliza hivi miili iliyoungana itaishije?
Watu wameungana pamoja roho tofauti, mungu ana miujiza mikubwa sana.
Hivi katika wale walioungana mmoja akifa mwingine ataishije?
Au mmoja akifa watawazika kwa pamoja?
Mtihani mkubwa sana jamani huu.
A na B yote yanaweza kuwa sahihiWana mfumo mmoja wa damu mmoja akiwa na tatizo automatically na mwingine analipata so wanakufa pamoja but ni maoni yangu