Sijui wale watoto walioungana watakufa pamoja?

dimaa

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2016
Posts
4,174
Reaction score
5,658
Salute,

Kuna kitu ukijaribu kukifikiria katika hali ya kawaida tu ni kigumu sana.

Unajaribu kujiuliza hivi miili iliyoungana itaishije?

Watu wameungana pamoja roho tofauti, mungu ana miujiza mikubwa sana.

Hivi katika wale walioungana mmoja akifa mwingine ataishije?

Au mmoja akifa watawazika kwa pamoja?

Mtihani mkubwa sana jamani huu.
 
Hili ni swali zuri sana.....
 
Mkuu hili swala huwa najiuliza kila mara lkn Mungu ana siri nzito.
 
Tuanzie kwa kuumwa, juzi kati waliumwa wote kwa pamoja
 
Salute,

Kuna kitu ukijaribu kukifikiria katika hali ya kawaida tu ni kigumu sana.

Unajaribu kujiuliza hivi miili iliyoungana itaishije?

Watu wameungana pamoja roho tofauti, mungu ana miujiza mikubwa sana.

Hivi katika wale walioungana mmoja akifa mwingine ataishije?

Au mmoja akifa watawazika kwa pamoja?

Mtihani mkubwa sana jamani huu.
Wana mfumo mmoja wa damu mmoja akiwa na tatizo automatically na mwingine analipata so wanakufa pamoja but ni maoni yangu
 
Back
Top Bottom