Imenishangaza kidogo kuona clip hii ambayo inazungumzia kiumbe aliyemlazimisha adamu kumwasi Mungu.
Ina maana huyu joka, ndiye anayeendelea kudanganya watu wauane, wachinje wenzao na kuendeleza vurugu duniani hadi sasa?
Naomba uwafikishie hii clip watu wote wanaomwabudu nyoka ili yamkini wajiokoe nafsi zao na mauti.