dvj nasmiletz
JF-Expert Member
- Jul 23, 2018
- 2,079
- 2,254
- Thread starter
-
- #81
Kuna baadhi ya mix nilisahu kuruhusu downloads..ngoja naahughulikia..mkuu ni ipi hiyo?Mkali nikifungua link naambiwa sina permission....Nifanyaje
Private Track
We're sorry, but you have no rights to hear this track.
Mix ya bongo fleva kitambo vol 2Kuna baadhi ya mix nilisahu kuruhusu downloads..ngoja naahughulikia..mkuu ni ipi hiyo?
Mix ya bongo fleva kitambo vol 2
Bado not permitted ipo
Mi nipo dodoma.mkuu we wapiMkuu naweza kukupata wapi nikupe mixing zangu nazohitaji make mi nataka sweat raggae na hip hop za kitambo kizazi cha akina Queen Latifa kuja juu kwa flash lakini.
Labda nizi upload tena..ngoja nitakutag zikiwa tayariBado not permitted ipo
Tunasubiria DJLabda nizi upload tena..ngoja nitakutag zikiwa tayari
Mkuu nimesubiria sana hii mixing ila naona kimya
Mkuu tuandalie ya
Kwaito mix
Ragga mix
Nitakuwa mmoja wa wenye kushukuru
Kesho usiki zitakuwa tayariMkuu tuandalie ya
Kwaito mix
Ragga mix
Nitakuwa mmoja wa wenye kushukuru
Kama unapenda reggae mtafute DJ Chara, DJ Bling na DJ double trouble Gettho radio hio wana mixing adimu sana, siku hizi nasikiliza radio za kenya tu online bongo kelele tuMadj wa kenya wapo vizuri sana huchoki kusikiliza mixing zao na wapo very updated sana na skillz za kutosha...Nilianza kuwafahamu Kipindi kile Star Tv wanarusha kipindi cha Supremacy sound ambacho kilikua kinapiga nyimbo za Reggae na Riddims na Dj alikuwa ni Simple simon Mara ya kwanza nilidhani ni jamaa wa Jamaica kwa jins anavozipatia Reggae n Riddims ...Ikabid nimtafute youtube ndipo nikagundua ni mkenya toka siku hiyo nimekuwa mpenz wa mixing za madj wa kenya eg.Dj Kanji,Dj lyta,Dj ken b,Dj Shinski
Mdogo mdogo nadhan na sie madj wetu watafikia viwango vya Madj wa kenya...Nashauri madj wetu wajitahid kuwa na collection ya nyimbo na videos zenye high quality (320kbps),Watumie mixing softwares za kisasa eg.Serato au Sony vegas,Pia wasiwe wavivu kujifunza skills mpya toka kwa pro Djs wenzao...Dj nasmiles nakutakia mafanikio mema nipo hapa nasikiliza gospel mixing yako 🙂