Madj wa kenya wapo vizuri sana huchoki kusikiliza mixing zao na wapo very updated sana na skillz za kutosha...Nilianza kuwafahamu Kipindi kile Star Tv wanarusha kipindi cha Supremacy sound ambacho kilikua kinapiga nyimbo za Reggae na Riddims na Dj alikuwa ni Simple simon Mara ya kwanza nilidhani ni jamaa wa Jamaica kwa jins anavozipatia Reggae n Riddims ...Ikabid nimtafute youtube ndipo nikagundua ni mkenya toka siku hiyo nimekuwa mpenz wa mixing za madj wa kenya eg.Dj Kanji,Dj lyta,Dj ken b,Dj Shinski
Mdogo mdogo nadhan na sie madj wetu watafikia viwango vya Madj wa kenya...Nashauri madj wetu wajitahid kuwa na collection ya nyimbo na videos zenye high quality (320kbps),Watumie mixing softwares za kisasa eg.Serato au Sony vegas,Pia wasiwe wavivu kujifunza skills mpya toka kwa pro Djs wenzao...Dj nasmiles nakutakia mafanikio mema nipo hapa nasikiliza gospel mixing yako 🙂