Sikiliza kiingereza cha Harmonize tuzo za Afrima

Sikiliza kiingereza cha Harmonize tuzo za Afrima

Yaah hakutaka makuu kakimwaga uzuri tu akiendelea hivyo ipo siku kama ana bidii atakiongea tu jamani lugha sio kitu kidogo watu wengi huumbuka niliwahi kumuona mtu katoka penye interview jasho linamtoka utadhani wabeba lumbesa za nazi toka soko dogo kariakoo kupeleka kisutu mtu yupo hoi.
 
Hahahaa... tupelekewatoto shule jamani.
SI WOTE WENYE UWEZO, Pengine wazazi wa harmonize hawakuwa na uwezo wa kumuendeleza Zaidi ila naamini harmonize atapeleka wakwake shule hiyo ndivyo inavyokuwa, kuna tajiri mmoja Tanzania nae hakwenda shule kihivyo, lakini ameajiri nyinyi mlokwenda shule na watoto wake akapeleka shule na biashara zake zinazidi kukua ..HUKO NDIKO KUJIONGEZA, Tusimlaumu na hata hivyo ndo anaanza ataweza muhimu asiongope kuchekwa na kukatishwa tamaa na amefanya vyema kujibu Kiswahili, siku akijiona anamudu kujibu kizungu afanye hivyo.
 
kawaida sana hata mondi kipindi alipokuwa na wema walikuwa wanamcheka, akatia juhudi hakujali leo yupo vizuri
Go harmonize.....go with confidence utajua tu....
 
Messi,ronaldo etc wakishinda tuzo za mchezaji bora barani ulaya uongea lugha zao za taifa pindi wanapopewa nafasi ya kusukuru audience.
unmatched comparison... too illogical.. those guys are conversant in more than two big languages.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
one step at a time
 
Back
Top Bottom