Mpanda nyangobe
JF-Expert Member
- Apr 30, 2015
- 762
- 1,688
English is a quagmire selectively to buddies who practice pomposity while they reckon that they are in limbo..let them face the hyperbolic catastrophe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha umenichekesha sana,Yaah hakutaka makuu kakimwaga uzuri tu akiendelea hivyo ipo siku kama ana bidii atakiongea tu jamani lugha sio kitu kidogo watu wengi huumbuka niliwahi kumuona mtu katoka penye interview jasho linamtoka utadhani wabeba lumbesa za nazi toka soko dogo kariakoo kupeleka kisutu mtu yupo hoi.
Waalaykumusalaam warahmatullahi wabarakatuh kwema bibie?Hahahaha umenichekesha sana,
Asalaam aleykum.
Kwema kabisa, alhamdullillah.Waalaykumusalaam warahmatullahi wabarakatuh kwema bibie?
Exposer???/what wea u tryin to say fella??Anajitahidi dogo atazoea ndo anaanza kupata exposer sasa so he must get used to it..ajifunze zaidi
SijuiExposer???/what wea u tryin to say fella??