Sikiliza kiingereza cha Harmonize tuzo za Afrima

Sikiliza kiingereza cha Harmonize tuzo za Afrima

English is a quagmire selectively to buddies who practice pomposity while they reckon that they are in limbo..let them face the hyperbolic catastrophe
 
Mimi hata simcheki.
Lugha imekuja na meli hiyo oohoo.
 
Yaah hakutaka makuu kakimwaga uzuri tu akiendelea hivyo ipo siku kama ana bidii atakiongea tu jamani lugha sio kitu kidogo watu wengi huumbuka niliwahi kumuona mtu katoka penye interview jasho linamtoka utadhani wabeba lumbesa za nazi toka soko dogo kariakoo kupeleka kisutu mtu yupo hoi.
Hahahaha umenichekesha sana,

Asalaam aleykum.
 
Acheni ungese nyinyi makoko wa JF. Kushindwa kiingereza hakumuondolei thamani. Acheni akili za uharo. Na ikizingatiwa ndiyo kwanza njia ya dogo imeanza kufungua mabano.
 
Waongeee tu Kiswahili kwa sana mpaka wazungu nao wajifunze kiswahili 🙂
 
Akipata na tunzo za Kili awards na EA tv itamjenga kujiamini na kufanya vizuri zaidi katika kuboresha kazi zake ziwe na ladha ya kipekee
 
Back
Top Bottom