Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamaanisha mikia fc?Dah inabidi wasanii na wenyewe wajitaidi bhana kuwa ki international aise ila utakuta muda mwingi anapoteza sijui kaenda kwenye pati gani badala ungekaa geto unajifunza haya mambo hayaji hivi hivi bila jitihada yako mwenyewe halafu unataka kuwa wa kimataifa!! Labda kama unataka kuwa wa kimataifa kama wale ndala wa mchangani.
Why unasema akuna ajualo,hapo alipo tu amepiga hatua na kupiga hatua sio lazima ajue kiingereza nasiyo kila mtu aliyepiga hatua anajua kiingerza we unaonekana ni aina flni ya watu wapuuzi.huyo hakuna ajualo
Exposer=!exposureAnajitahidi dogo atazoea ndo anaanza kupata exposer sasa so he must get used to it..ajifunze zaidi
Hii tuzo ni kama suprise kwake,ukumbuke ni new comer kwenye game,au ulitaka alielie?Oor...shit..mbona..anacheka cheka
exposer×Anajitahidi dogo atazoea ndo anaanza kupata exposer sasa so he must get used to it..ajifunze zaidi
Nashukuruexposer×
exposure√
hata kibakuli naye ni nnya-ruandaDogo bora kaongea kiswahili kuliko yule mnyarwanda mwanariadha