Sikiliza kiingereza cha Harmonize tuzo za Afrima

Sikiliza kiingereza cha Harmonize tuzo za Afrima

unmatched comparison... too illogical.. those guys are conversant in more than two big languages.
Wee Sio kweli. Kipindi manchester city amechukua ubingwa uingereza Aguero alihojiwa kwa kiingereza hakujibu chochote mpka akasaidiwa na Captain Company. So ni kawaida tu. Bado anaweza kujifunza akajua tu cha kunywea maji. Ni wengi tu wanaoweza kuelewa walichoulizwa halafu kukijibu kwa Kiingereza ikawa tatizo na matokeo yake akajibu kwa Lugha yake.
 
Wolper afanye kazi aliyofanya Wema kwa Diamond....... [HASHTAG]#shishi[/HASHTAG] baby
 
Wolper afanye kazi aliyofanya Wema kwa Diamond....... [HASHTAG]#shishi[/HASHTAG] baby
Wolper mwenyewe ni janga, mi namshauri dogo awahi kwa Ras Simba kabla nafasi hazijajaa, ukimaliza miezi mi3 kwa Ras Simba bila kujua chiingereza unarudishiwa ada
 
" In don't let you down guyz"...Domo mdogo katisha..

Huyu Dogo atatoboa tu one day, nakaaga nae sana ana heshima sana na hajaanza kuvuta bangee, tatizo hilo limama alilolipata full mibangi na ulabuu..
 
watanzania ni watu wa ajabu sana
ulitaka aongee lugha gani kama sio kiswahili?
watanzania ni watu wa ajabu sana
 
Mwanzo mgumu ila better kajiongelea kiswahili tu....kaona isiwe tabu. ...better that way aisee kuliko kujitia ufundi
 
Kwani hata boss wqke c alikua hvohvo,atajifunza sasa hvi atakua mkali,lugha ni changamoto ndogo tuu,ameshafika mbali
 
Sasa ulitaka tumcheke au tufanyaje?

Mbona ushamba wa lugha hauwaishi wa Tz?

Nikajua hajui kuongea kiswahili kumbe kingereza!!

Pathetic.
Hata mimi nakuunga mkono ila akumbuke tu kuwa sio siku zote ataishia kuongea kwenye interview.

Kadri anavyokuwa (kisanii) kuna wakati atahitaji man to man meeting...au yupo kwenye cocktail party meneja wa Usher Raymond akahitaji kubadilishana naye mawazo n.k n.k......namaanisha sio maeneo yote atakuwa jirani na Meneja/Mkalimani wake...au kuna wakati atahitaji privacy.

Ninachomkumbusha ni kuwa hata Diamond alianzia hapo lakini kwa kufanya bidii na kujali anachofanya, leo hii ana handle interview za kimataifa...Harmonize anahitaji kufuata nyayo za Boss Mondi...ingawa nakiri kuwa mambo sio rahisi kihivyo.

Kiigereza kitakuwa na manufaa zaidi kwake binafsi kuliko kwetu sisi audience.
 
Atajua tuuu, msibeze sana, kingereza chenyewe kimekuja na meli.
Wolper atamfundisha
 
English was born in England and died in india.... [emoji48][emoji48][emoji48]
 
Back
Top Bottom