Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wee Sio kweli. Kipindi manchester city amechukua ubingwa uingereza Aguero alihojiwa kwa kiingereza hakujibu chochote mpka akasaidiwa na Captain Company. So ni kawaida tu. Bado anaweza kujifunza akajua tu cha kunywea maji. Ni wengi tu wanaoweza kuelewa walichoulizwa halafu kukijibu kwa Kiingereza ikawa tatizo na matokeo yake akajibu kwa Lugha yake.unmatched comparison... too illogical.. those guys are conversant in more than two big languages.
Wolper mwenyewe ni janga, mi namshauri dogo awahi kwa Ras Simba kabla nafasi hazijajaa, ukimaliza miezi mi3 kwa Ras Simba bila kujua chiingereza unarudishiwa adaWolper afanye kazi aliyofanya Wema kwa Diamond....... [HASHTAG]#shishi[/HASHTAG] baby
Hata mimi nakuunga mkono ila akumbuke tu kuwa sio siku zote ataishia kuongea kwenye interview.Sasa ulitaka tumcheke au tufanyaje?
Mbona ushamba wa lugha hauwaishi wa Tz?
Nikajua hajui kuongea kiswahili kumbe kingereza!!
Pathetic.
ExposureAnajitahidi dogo atazoea ndo anaanza kupata exposer sasa so he must get used to it..ajifunze zaidi
Nashukuru..Exposure