At international arena we speak the worlds language.. English.Im proud of him kwa sababu anajua umuhim wa lugha ya taifa sio kila kitu kuiga wazungu tu
Messi,ronaldo etc wakishinda tuzo za mchezaji bora barani ulaya uongea lugha zao za taifa pindi wanapopewa nafasi ya kusukuru audience.At international arena we speak the worlds language.. English.
Exposure hope was typo.Anajitahidi dogo atazoea ndo anaanza kupata exposer sasa so he must get used to it..ajifunze zaidi
SI WOTE WENYE UWEZO, Pengine wazazi wa harmonize hawakuwa na uwezo wa kumuendeleza Zaidi ila naamini harmonize atapeleka wakwake shule hiyo ndivyo inavyokuwa, kuna tajiri mmoja Tanzania nae hakwenda shule kihivyo, lakini ameajiri nyinyi mlokwenda shule na watoto wake akapeleka shule na biashara zake zinazidi kukua ..HUKO NDIKO KUJIONGEZA, Tusimlaumu na hata hivyo ndo anaanza ataweza muhimu asiongope kuchekwa na kukatishwa tamaa na amefanya vyema kujibu Kiswahili, siku akijiona anamudu kujibu kizungu afanye hivyo.Hahahaa... tupelekewatoto shule jamani.
unmatched comparison... too illogical.. those guys are conversant in more than two big languages.Messi,ronaldo etc wakishinda tuzo za mchezaji bora barani ulaya uongea lugha zao za taifa pindi wanapopewa nafasi ya kusukuru audience.
Ndio asanteExposure hope was typo.
Thanks for your tremendously treachery to our mother-tongue...[emoji106]unmatched comparison... too illogical.. those guys are conversant in more than two big languages.
Anatangaza lugha ya taifa, angekuwa hajui kitu asingejibu kama anavyoulizwahuyo hakuna ajualo
Indeed you're aardvark for lacking unbridled of development of swahili language.At international arena we speak the worlds language.. English.
aisee nilijua hii lugha ni nyepesi kumbe inamaneno magumu hivi?Indeed you're aardvark for lacking unbridled of development of swahili language.
we unatakaje???? Ongea fastaWewe unakijua?
Angekuwa jayz kaongea kiswahili cha ovyo ungekuja hapa na kumpongeza ila mtanzania kuongea kiingereza cha kuungaunga unakuja kurusha maneno,wote tunajua kingereza sio lugha yetu,mimi kiukweli kwa kiwango cha elimu yake nampongeza sana
English language is incomprehensiblyaisee nilijua hii lugha ni nyepesi kumbe inamaneno magumu hivi?
Nimecheka kinoma