Hivi ni ajabu sana mtu kutojua kiingereza?
Mim ni mwl wa Kiingereza,na hakika huwa nasisitiza watoto wajitahidi kuongea ili kufaulu mitihani,na hata kuja kuiingiliana na jamii zingine wasiojua kiswahili,lakin bado haimanishi kutoongea kiingereza ni ugonjwa,au udhaifu,au kilema, hapana!.
Na lugha yyte ukiwa na lengo na sabb za kujifunza inawezkana kbsa....hivyo Kwa huyu dogo hatua moja ni kuwa anaelewa kiingereza lkn hawez kuongea hio ni moja ya skill..ni hatua kubwa..
Kwa ili useme unaimudu lugha lazima uwe na ujuzu huu
Kuongea
Kuskiliza
Kuandika na
Kusoma
Huwez jifunza vyote hv at once..it must take you some nights..j
Kiswahili tu bado kinatusumbua wengi..
But for the sake of international socialization better one acquire a set/variety of international languages, English being among