Sikiliza voice Ugomvi wa Martha Mwaipaja na beatrice mwaipaja wapamba moto

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
25,258
Reaction score
48,589
Hapa kwangu najua mwenye shida martha kamrekodi mwenzie af yeye anaongea pole pole kujifanya hana hatia uku mwenzie akibwabwaja kwa hasira hakiwa hajui kinacho endelea

Alikuwa anajua anacho kifanya ndio maana kayafanya haya
 
Ugomvi wa ndugu tunaachanisha na kushauri wapatane. Hatuchagui kuwa upande wowote kati yao.
 
Hapa kwangu najua mwenye shida martha kamrekodi mwenzie af yeye anaongea pole pole kujifanya hana hatia uku mwenzie akibwabwaja kwa hasira hakiwa hajui kinacho endelea

Alikuwa anajua anacho kifanya ndio maana kayafanya haya
hilo sagio analosagia huyo binti kwa martha nadhani limetengenezwa kuzimu kabisa, hadi yupo tayari kugombana na ndugu, nchi na dunia nzima imeongea, huyo binti ana baba na mama na alikuja kwake kama housegirl, ila hata ufanyeje hawezi kumwacha. martha ni mjinga sana.
 
Umeyajuaje yote hayo?
 
Ngoja tukalime 😝
Siku hizi methali imabadilika.

Ndugu waligombana, chukua benchi ukae uwatazame maana hakuna namna.
20231010_202633.jpg
 
Samahani wakuu....
Hao ndio akina nani huko daslam...🤔 maana kilakukicha umaarufu unawapata watu huko...🙄
 
Back
Top Bottom