Sikiliza voice Ugomvi wa Martha Mwaipaja na beatrice mwaipaja wapamba moto

Sikiliza voice Ugomvi wa Martha Mwaipaja na beatrice mwaipaja wapamba moto

Beatrice ni mgonjwa wa akili asaidiwe.
Beatrice Ni mzima, kama umefatilia sakata lao huyo dada mkubwa ndio shida. Kwanza cha kujiuliza ni nani aliyerekodi na kuisambaza, unawezakuta ni dada mtu au huyo Joan lengo ni kujisafisha, ndio maana dada mtu kwa kujua kuwa anarekodi ndio maana akecheza smart.

Lakini, Beatrice hakutaka kumpa nafasi dada mtu ya kuongea kwa kuwa alikuwa anajua dada mtu hana jipya.
 
Jina lako la wine ila umbea sasa!, umeyajuaje yote haya...?🤣
Hadi uambiwe na mtu? Si ninaobserve tu.Johan aliwahi kutamba kanunuliwa kiwanja na kafunguliwa boutique na Martha.In short Martha ndo anamuweka Joan mjini. Kumbuka Joan alikuja kama housegirl.Leo kawa mtoto wa Martha.
 
Yaani huwa najisikia vibaya nikiona ndugu tena wa mama mmoja kabisa wanakua na chuki kiasi kama hiki jamani, Mungu aisaidie hii familia kwakweli hekima inahitajika, huyo beatrice inaonekana ana uchungu sana kwa jinsi anavyoongea ana mengi moyoni.
Haya mambo hayakutakiwa kufika social media kabisa.
 
Back
Top Bottom