Sikiliza voice Ugomvi wa Martha Mwaipaja na beatrice mwaipaja wapamba moto

Sikiliza voice Ugomvi wa Martha Mwaipaja na beatrice mwaipaja wapamba moto

Japo sijui tatizo lao ni kitu gani ila huyo bite ana tatizo la akili wakimwahi mapema atakaa poa.
Hata mimi sijui kinachoendelea ila huyo Bite hata anavyoongea ni tatizo kubwa.
 
Nyie wanyaki kwa kupenda ugomvi mko vizuri.
Mambo yenu yamalizeni wenyewe kwenye familia.
Hata sisi tuna ugomvi kwenye familia zetu hatuleti hadharani.
Unamrekodi mwenzio na kupakia mitandaoni iweje?
 
Nyie wanyaki kwa kupenda ugomvi mko vizuri.
Mambo yenu yamalizeni wenyewe kwenye familia.
Hata sisi tuna ugomvi kwenye familia zetu hatuleti hadharani.
Unamrekodi mwenzio na kupakoa mitandaoni iweje?
Wanyaki ni watu wa wapi mkuu?
 
Back
Top Bottom