Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 15,416
- 22,334
Ugomvi wote huu kisa wazazi wapumbavu wanao tamani mali za watoto wao ...lakini wao hao wazazi wanawaambia watoto wao hizi mali nilichuma mimi na mme wangu au mimi na mke wangu nyinyi tafuteni za kwenuHapa kwangu najua mwenye shida martha kamrekodi mwenzie af yeye anaongea pole pole kujifanya hana hatia uku mwenzie akibwabwaja kwa hasira hakiwa hajui kinacho endelea
Alikuwa anajua anacho kifanya ndio maana kayafanya haya
View attachment 3252733