Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Ugomvi wa ndugu tunaachanisha na kushauri wapatane. Hatuchagui kuwa upande wowote kati yao.Hapa kwangu najua mwenye shida martha kamrekodi mwenzie af yeye anaongea pole pole kujifanya hana hatia uku mwenzie akibwabwaja kwa hasira hakiwa hajui kinacho endelea
Alikuwa anajua anacho kifanya ndio maana kayafanya haya
hilo sagio analosagia huyo binti kwa martha nadhani limetengenezwa kuzimu kabisa, hadi yupo tayari kugombana na ndugu, nchi na dunia nzima imeongea, huyo binti ana baba na mama na alikuja kwake kama housegirl, ila hata ufanyeje hawezi kumwacha. martha ni mjinga sana.Hapa kwangu najua mwenye shida martha kamrekodi mwenzie af yeye anaongea pole pole kujifanya hana hatia uku mwenzie akibwabwaja kwa hasira hakiwa hajui kinacho endelea
Alikuwa anajua anacho kifanya ndio maana kayafanya haya
Umeyajuaje yote hayo?hilo sagio analosagia huyo binti kwa martha nadhani limetengenezwa kuzimu kabisa, hadi yupo tayari kugombana na ndugu, nchi na dunia nzima imeongea, huyo binti ana baba na mama na alikuja kwake kama housegirl, ila hata ufanyeje hawezi kumwacha. martha ni mjinga sana.
KabisaNgoja tukalime π
Dini+Chuki+hasira+Vinyongo+wivuππΌπKabisa
Huyo anaeongea kama chiriku anaonekana ana stress hana utulivu wa akili kiufupi kama mimi ndio hakimu angekula nyundo mapema sanaDini+Chuki+hasira+Vinyongo+wivuππΌπ
Siku hizi methali imabadilika.Ngoja tukalime π