Sikiliza voice Ugomvi wa Martha Mwaipaja na beatrice mwaipaja wapamba moto

Ndugu wakigombana shika jembe ukalime
 
Japo sijui tatizo lao ni kitu gani ila huyo bite ana tatizo la akili wakimwahi mapema atakaa poa.
Hata mimi sijui kinachoendelea ila huyo Bite hata anavyoongea ni tatizo kubwa.
 
Ukute hapo wakati wanajibizana hao ndugu,Huyo Joan yupo Pembeni mwa Martha anamkunakuna mgongo.πŸ˜‚
Hahaha mm kiuhalisia sipendag ndg kugombana kufikia hatua za kuonekana km uadui aseeh

Hiyo ya mgongo daah πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Nyie wanyaki kwa kupenda ugomvi mko vizuri.
Mambo yenu yamalizeni wenyewe kwenye familia.
Hata sisi tuna ugomvi kwenye familia zetu hatuleti hadharani.
Unamrekodi mwenzio na kupakia mitandaoni iweje?
 
Nyie wanyaki kwa kupenda ugomvi mko vizuri.
Mambo yenu yamalizeni wenyewe kwenye familia.
Hata sisi tuna ugomvi kwenye familia zetu hatuleti hadharani.
Unamrekodi mwenzio na kupakoa mitandaoni iweje?
Wanyaki ni watu wa wapi mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…