Ugomvi wote huu kisa wazazi wapumbavu wanao tamani mali za watoto wao ...lakini wao hao wazazi wanawaambia watoto wao hizi mali nilichuma mimi na mme wangu au mimi na mke wangu nyinyi tafuteni za kwenuHapa kwangu najua mwenye shida martha kamrekodi mwenzie af yeye anaongea pole pole kujifanya hana hatia uku mwenzie akibwabwaja kwa hasira hakiwa hajui kinacho endelea
Alikuwa anajua anacho kifanya ndio maana kayafanya haya
View attachment 3252733
Ni kujiendekeza tu binafsi nikigida naweka mziki naperuzi humu nikiona naanza kuropoka nazima kifaa cha mawasiliano napotea siku tatu nikirudi sisomi reply ππππBora wewe sie wengine tunazurura nakupiga makelele ndo raha yetu!, ninywe halafu nikae ndani sasa nitawakera vipi nini maana yakuwa vibe...π€£
Hao no school mate wako mkuu.Samahani wakuu....
Hao ndio akina nani huko daslam...π€ maana kilakukicha umaarufu unawapata watu huko...π
Ccm ni π©π©π©wewe acha ubishiHizi ndo mada wabongo upenda wakitoka Hapo ni kuilaumu ccm juu ya matatizo yao
Umeyajuaje hayo. Kama wanagombea bwana wao Maghayo je?Ugomvi wote huu kisa wazazi waoumbavu wanao tamani mali za watoto wao ...lakini wao hao wazazi wanawaambia watoto wao hizi mali nilichuma mimi na mme wangu au mimi na mke wangu nyinyi tafuteni za kwenu
Haha! unakuwa unajiogopa tena wakati wengine ujasiri ndo unaongezeka!, hata moderator akipita anga zangu naweza hata kumtishia kumpiga ban!..π€£Ni kujiendekeza tu binafsi nikigida naweka mziki naperuzi humu nikiona naanza kuropoka nazima kifaa cha mawasiliano napotea siku tatu nikirudi sisomi reply ππππ
Matombo morogoroWanyaki ni watu wa wapi mkuu?
Sijasikka wakisema wazazi wanagombea mali zao mkuu? We umesikia hilo?Kwani ujasikia walicho ongea π
Kuna siku niligida vitu , nikaelezea vile niliachana na mama watoto wangu bila kujitambua , kesho nakuja fungua nakuta like 160 na reply kibao , cha kushangaza nilipangilia stories kiufasaha mno , nikaifuta ile comment kimya kimya ππ, sikuwahi tegemea kufanya hivyo mkuu, pombe sio chai bwashee.Haha! unakuwa unajiogopa tena wakati wengine ujasiri ndo unaongezeka!, hata moderator akipita anga zangu naweza hata kumtishia kumpiga ban!..π€£
Unazingua , jibu limeshapatikana bwasheeMatombo morogoro
Kwani ujaisikia sauti ya Joan kwa mbali πUkute hapo wakati wanajibizana hao ndugu,Huyo Joan yupo Pembeni mwa Martha anamkunakuna mgongo.π
Kwani wewe ni mgeni tanzania...Ujasikia akisema wewe Martha kula raha na pesa zako tuSijasikka wakisema wazazi wanagombea mali zao mkuu? We umesikia hilo?
πππHawa watakuwa wametumwa na CCM
Kuna nyimbo yake naipenda sana inaitwa tutafika salamaMartha ni hatari mno.Kanajua kanarecord so kanaongea kaonekane kana Hekima.Wallah mimi ningekuwa Bite ningemblock Martha kila mahali na nikaishi maisha yangu .Huyo Bite ana sauti nzuri mno na ana kipaji cha kuimba.
π€£π€£ safi kabisa!Kuna siku niligida vitu , nikaelezea vile niliachana na mama watoto wangu bila kujitambua , kesho nakuja fungua nakuta like 160 na reply kibao , cha kushangaza nilipangilia stories kiufasaha mno , nikaifuta ile comment kimya kimya ππ, sikuwahi tegemea kufanya hivyo mkuu, pombe sio chai bwashee.
Pombe ina kufanya usidanganye kitu π€£π€£π€£ safi kabisa!
Upo ?this is another reason you cant date my dota.