Sikio la kufa: Rais wa Ukraine, Zelensky, akataa ofa ya Marekani ya kumtorosha Kyiv asikamatwe na Putin

Sikirimimimasikini

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2019
Posts
2,926
Reaction score
15,634
Marekani imepiga hesabu zake imeona kuwa Putin atamdaka Rais wa Ukraine ndani ya siku chache mno. Kufuatia hivyo, imeona bora imchukue kibaraka wake huyo (rais wa Ukraine) kwa kumtorosha toka Ukraine ili kumuepushia kifo.

Rais wa Ukraine bwana Zelensky amekataa ofa ya Marekani ya kutaka kumtorosha toka mji mkuu wa Ukraine, Kyiv, uliozingirwa na majeshi ya Putin (Russia) yeye (Zelensky) akiwa ni target Namba 1. Rais huyo wa Ukraine amewajibu Marekani kuwa yeye anataka silaha za vita, sio ndege ya kumtorosha toka Ukraine.

Waswahili walinena SIKIO LAKUFA HALISIKII DAWA

======

Zelensky declines US offer to evacuate Kyiv: 'I need ammunition, not a ride'
Ukrainian President Volodymyr Zelensky was asked to evacuate Kyiv at the behest of the US government but turned down the offer.

Zelensky said in response: “The fight is here; I need ammunition, not a ride,” according to a senior American intelligence official with direct knowledge of the conversation, who described Zelenskyy as upbeat.

Invading Russian forces closed in on Ukraine’s capital on Saturday, in an apparent encircling movement after a barrage of airstrikes on cities and military bases around the country.
 
Alitaka vifaa wakaufyata afu eti ofa ya kutoroshwa? Stupid zao Bora afe akipambana sanjali na jeshi lake ambalo limekataa uasi.

Urusi kaaibika na leo kashindwa kuangusha Serikali 👇

20220226_073223.jpg

20220226_073411.jpg

20220226_073422.jpg

20220226_073417.jpg
 
Marekani imepiga hesabu zake imeona kuwa Putin atamdaka Rais wa Ukraine ndani ya siku chache mno. Kufuatia hivyo, imeona bora imchukue kibaraka wake huyo (rais wa Ukraine) kwa kumtorosha toka Ukraine ili kumuepushia kifo.

Rais wa Ukraine bwana Zelensky amekataa ofa ya Marekani ya kutaka kumtorosha toka mji mkuu wa Ukraine, Kyiv, uliozingirwa na majeshi ya Putin (Russia) yeye (Zelensky) akiwa ni target Namba 1. Rais huyo wa Ukraine amewajibu Marekani kuwa yeye anataka silaha za vita, sio ndege ya kumtorosha toka Ukraine.

Waswahili walinena SIKIO LAKUFA HALISIKII DAWA
===

Zelensky declines US offer to evacuate Kyiv: 'I need ammunition, not a ride'
Ukrainian President Volodymyr Zelensky was asked to evacuate Kyiv at the behest of the US government but turned down the offer.

Zelensky said in response: “The fight is here; I need ammunition, not a ride,” according to a senior American intelligence official with direct knowledge of the conversation, who described Zelenskyy as upbeat.

Invading Russian forces closed in on Ukraine’s capital on Saturday, in an apparent encircling movement after a barrage of airstrikes on cities and military bases around the country.
Mkuu muda mwingine shirikisha ubongo wako ili facts ziwepo, wewe unajua kiini cha mgogoro ule?let's me ask you swali dogo tu,hivi mwingereza akiamua kuvamia Tanzania akidai lilikua koloni lake, nini msimamo wako kwa hili?,pls nijibu then we can carry on na mada yako.
 
Ni kwa sababu mazungumzo yanaendelea baada ya Rais wa Ukraine kusema yupo tayari kuzungumza na Russia juu ya neutrality status... Yaani Ukraine ikubali kuwa nchi isiyofungamana na upande wowote.. Jambo ambalo putin kalikubali haraka na kupendekeza mazungumzo yaanze mara moja huko Minsk Belarus lakini Zelenky anataka yafanyikie Poland Warsaw.. Hivyo mazungumzo bado yanaendelea ni wapi wakutane ingawa Putin anasisitiza lazima yafanyikie Minsk Belarus..
NA ameshamwagizwa Rais wa nchi hiyo kuandaa logistics.
Lakini pia amesisitiza kuwa Rais wa Ukraine awaambie Askari wake waweke silaha chini.
Kimsingi Rais wa Ukraine ni kama ashawasaliti magharibi baada ya kuona hawana msaada wowote.
Anaona ni bora akubali yaishe.

Mtaona unafiki wa nchi za magharibi, watakapofanya mazungumzo na Russia na kuafikiana watamgeuka kabisa Zelensky na kuanzisha upinzani mpya.
 
Back
Top Bottom