Sikio la kufa: Rais wa Ukraine, Zelensky, akataa ofa ya Marekani ya kumtorosha Kyiv asikamatwe na Putin

Ni kwa sababu mazungumzo yanaendelea baada ya Rais wa Ukraine kusema yupo tayari kuzungumza na Russia juu ya neutrality status... Yaani Ukraine ikubali kuwa nchi isiyofungamana na upande wowote.. Jambo ambalo putin kalikubali haraka na kupendekeza mazungumzo yaanze mara moja huko Minsk Belarus lakini Zelenky anataka yafanyikie Poland Warsaw.. Hivyo mazungumzo bado yanaendelea ni wapi wakutane ingawa Putin anasisitiza lazima yafanyikie Minsk Belarus..
NA ameshamwagizwa Rais wa nchi hiyo kuandaa logistics.
Lakini pia amesisitiza kuwa Rais wa Ukraine awaambie Askari wake waweke silaha chini.
Kimsingi Rais wa Ukraine ni kama ashawasaliti magharibi baada ya kuona hawana msaada wowote.
Anaona ni bora akubali yaishe.

Mtaona unafiki wa nchi za magharibi, watakapofanya mazungumzo na Russia na kuafikiana watamgeuka kabisa Zelensky na kuanzisha upinzani mpya.
Maelezo yake.
Screenshot_20220226-103601_1.jpg
 
Mkuu muda mwingine shirikisha ubongo wako ili facts ziwepo, wewe unajua kiini cha mgogoro ule?let's me ask you swali dogo tu,hivi mwingereza akiamua kuvamia Tanzania akidai lilikua koloni lake, nini msimamo wako kwa hili?,pls nijibu then we can carry on na mada yako.
Bora zako wewe Mmarekani wa Tandale unafikirisha sana akili kuliko hata Colonel Macgregor wa Jeshi la Marekani.

Colonel Macgregor, afisa mstaafu wa jeshi la Marekani anakujibu hivi Marekani ina nafasi ya kuepusha vita na Putin (Russia). Jambo la kwanza wanalopaswa kufanya Wamarekani ni kukiri na kukubaliana na nukta ya msingi ya Putin (Russia), ambayo serekali ya Russia imeiweka wazi kwa zaidi ya miaka 25 sasa. Nukta yenyewe ni kuwa Russia hawataki majeshi ya Marekani, mizinga ya Marekani, na majeshi ya NATO kwenye mpaka wake na Ukraine (Mashariki ya Ukraine kwenye majimbo yaliyotangazwa huru na Putin).

Colonel Douglas akaendelea kusema: Kiukweli kabisa hata sisi Wamarekani hatukuyataka majeshi ya Russia na mizinga yake ndani ya Cuba, Putin naye hataki mambo hayo mashariki mwa Ukraine. Lazima tukubali madai hayo. Tuache kujifanyisha kuwa madai hayo hayana maana (ni ya kipuuzi).
======

COL. DOUGLAS MACGREGOR: Let me just reiterate something. I, like you and millions of Americans, would prefer that the troops headed to Eastern Europe right now were headed to the Mexican border. But I’m also very concerned that we find a way to avoid a conflict with Russia. The first thing we have to do is acknowledge that Putin’s basic point, not just his point, the Russian government’s point, which they’ve made for 25 years, is valid. They don’t want U.S. forces and missiles and NATO troops immediately across the border in eastern Ukraine. Absolutely. We didn’t want them in Cuba, he doesn’t want them in eastern Ukraine. We should acknowledge that. Stop pretending it’s a nonissue. It is a major issue for them. Let’s acknowledge it and then let’s get down to business and tell them fine, our concern at this point is we don’t want you to proceed west towards the polish border over the Dnieper River in Ukraine.
 
Nyie si ndio mliokuwa mkisema aingie vitani na yeye kaingia mkakaa kimya
Unadhani uzalendo wa Wazungu ni wa kinafiki kama wa Magufuli?.
Marekani akampige adui wa Ukraine na si kumtorosha Rais
 
Marekani imepiga hesabu zake imeona kuwa Putin atamdaka Rais wa Ukraine ndani ya siku chache mno. Kufuatia hivyo, imeona bora imchukue kibaraka wake huyo (rais wa Ukraine) kwa kumtorosha toka Ukraine ili kumuepushia kifo.

Rais wa Ukraine bwana Zelensky amekataa ofa ya Marekani ya kutaka kumtorosha toka mji mkuu wa Ukraine, Kyiv, uliozingirwa na majeshi ya Putin (Russia) yeye (Zelensky) akiwa ni target Namba 1. Rais huyo wa Ukraine amewajibu Marekani kuwa yeye anataka silaha za vita, sio ndege ya kumtorosha toka Ukraine.

Waswahili walinena SIKIO LAKUFA HALISIKII DAWA
===

Zelensky declines US offer to evacuate Kyiv: 'I need ammunition, not a ride'
Ukrainian President Volodymyr Zelensky was asked to evacuate Kyiv at the behest of the US government but turned down the offer.

Zelensky said in response: “The fight is here; I need ammunition, not a ride,” according to a senior American intelligence official with direct knowledge of the conversation, who described Zelenskyy as upbeat.

Invading Russian forces closed in on Ukraine’s capital on Saturday, in an apparent encircling movement after a barrage of airstrikes on cities and military bases around the country.
hizi ni propaganda tu kama yule jamaa wa iraq wakati wa vita ya saddam. Hapa anacheza na akili za raia kuwatia moyo tu wasikimbie mapambano. Si ajabu pia wakarusha "video" za maelfu ya askari wa urusi waliouwa huko kiev. Vita inapiganwa ardhini, angani, majini na kwenye akili za watu. HUyo jamaa ashaweka kila kitu tayari kuokoamaisha yake na familia yake na watu wake wa karibu. Huo mji mkuu wao ukichukuliwa katika mateka hakutakuwemo rais wala baraza lake la mawaziri wala watu nyeti wote
 
Magufuli[emoji15][emoji15][emoji15][emoji848][emoji848][emoji848] Kwani Amefufuka Tena
 
Wewe fala ndio unamuona sikio la kufa.....
People mean business....

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
hizi ni propaganda tu kama yule jamaa wa iraq wakati wa vita ya saddam. Hapa anacheza na akili za raia kuwatia moyo tu wasikimbie mapambano. Si ajabu pia wakarusha "video" za maelfu ya askari wa urusi waliouwa huko kiev. Vita inapiganwa ardhini, angani, majini na kwenye akili za watu. HUyo jamaa ashaweka kila kitu tayari kuokoamaisha yake na familia yake na watu wake wa karibu. Huo mji mkuu wao ukichukuliwa katika mateka hakutakuwemo rais wala baraza lake la mawaziri wala watu nyeti wote
Uko sahihi kabisa Mkuu.
 
Marekani imepiga hesabu zake imeona kuwa Putin atamdaka Rais wa Ukraine ndani ya siku chache mno. Kufuatia hivyo, imeona bora imchukue kibaraka wake huyo (rais wa Ukraine) kwa kumtorosha toka Ukraine ili kumuepushia kifo.

Rais wa Ukraine bwana Zelensky amekataa ofa ya Marekani ya kutaka kumtorosha toka mji mkuu wa Ukraine, Kyiv, uliozingirwa na majeshi ya Putin (Russia) yeye (Zelensky) akiwa ni target Namba 1. Rais huyo wa Ukraine amewajibu Marekani kuwa yeye anataka silaha za vita, sio ndege ya kumtorosha toka Ukraine.

Waswahili walinena SIKIO LAKUFA HALISIKII DAWA
===

Zelensky declines US offer to evacuate Kyiv: 'I need ammunition, not a ride'
Ukrainian President Volodymyr Zelensky was asked to evacuate Kyiv at the behest of the US government but turned down the offer.

Zelensky said in response: “The fight is here; I need ammunition, not a ride,” according to a senior American intelligence official with direct knowledge of the conversation, who described Zelenskyy as upbeat.

Invading Russian forces closed in on Ukraine’s capital on Saturday, in an apparent encircling movement after a barrage of airstrikes on cities and military bases around the country.
Aisee nawapenda ukraine ni wazalendo mpaka raha .Unaipenda nchi kuliko wewe myemyewe
 
Kwa Uharibu uliofanywa hadi sasa unakimbia ili iweje ?

Halaf you should learn war propaganda .

The reality on the ground ni kwamba zaidi ya wanajeshi 4000 wa Russia wameshakufa
 
Vita vina propaganda za hatari ukute huyu raisi anaongea hivyo anaelekeza utaratibu wa kupigana kumbe yuko new York tayari
No Anarusha live video Facebook Instagram yupo Kiev na familia yake ipo Kiev na yupo ana pats chai few minutes a go na wana jeshi wake yupo 44 years old
 
Back
Top Bottom