Sikio la kufa: Rais wa Ukraine, Zelensky, akataa ofa ya Marekani ya kumtorosha Kyiv asikamatwe na Putin

Sikio la kufa: Rais wa Ukraine, Zelensky, akataa ofa ya Marekani ya kumtorosha Kyiv asikamatwe na Putin

Kwa Uharibu uliofanywa hadi sasa unakimbia ili iweje ?

Halaf you should learn war propaganda .

The reality on the ground ni kwamba zaidi ya wanajeshi 4000 wa Russia wameshakufa
Russia troops wamekufa mno na Twitter wamewafungua Russia wana post propaganda
 
BREAKING NEWS.

Bulgaria,Canada na Uingereza zimefunga Anga lao kwa ndege zote za Urusi.

Ufaransa inatuma Siraha za kivita Ukraine.

White House imeomba kibali kwa Bunge la Congress kutoa msaada wa $ 6.4B kwa ajili ya msaada wa kijeshi kwa Ukraine.

Chakushangaza,Uturuki imesema haitazuia Meli za Jeshi la Urusi kupita Actic Bay inayodhibitiwa na Uturuki kuelekea Black Sea.

Marafiki wakweli huonekana wakati wa Shida. Uturuki na Ujerumani sioni haja yao kuwa NATO make walishawekwa kwenye Mfuko wa Russia.

Hapa,Naona Russia akichelewa kuiteka Kiev Kabla ya J3 atapata Shida kubwa Sana. Anatakiwa kuuteka mji Mkuu Kabla ya mda huo make Nchi Nyingi zilizokuwa Kimya Sasa Zimeanza kuonesha ukinzani kwa Urusi.

Ikumbukwe kuwa,Ukraine inahitaji Siraha TU za Kujilinda dhidi ya Vifaru na Ndege za Urusi. Make Haina Uwezo wa Kuishambulia Urusi.

Baadi ya Wanajeshi wa Urusi wametekwa kwenye Picha hapo Chini.
 
Hii Vita ni hatari Sana. Kwenye hayo Mazungumzo Kuna kubadilishana Wafungwa wa Kivita.
Screenshot_20220226-134128.jpg
 
Raisi wa Ukraine ni mwanaume,mwingine angekuwa keshakimbia
Hakuna kitu hapo, ameshaona USA na EU ni wanafki tu, kipindi kile alipowapigia simu viongozi wakuu 27 wa EU na USA kwanini hawakupokea simu hadi waje wasubiri awe kashazingirwa na RUSSIA imebaki kukamatwa tu ndipo atoroshwe nao ilihali tayari maafa ya Askari na Raia wasio na hatia wa UKRAINE washakufa?
 
Mwanaume au mpambavu unaipeleka Nchi yako kwenye Vita usiyoiweza halafu unasema Mwanaume,Marais wote waliomtanguliwa unadhani hawakujua madhara ya Ukraine kujiweka kwa Mataifa ya Magharibi.
We Empty head kaipeleka au kapelekewa
 
𝗵𝘂𝘆𝘂 𝗵𝗮𝗷𝗮𝗸𝗶𝗺𝗯𝗶𝗮 𝗸𝘄𝗮𝗸𝗲. 𝗛𝗮𝘄𝗲𝘇𝗶 𝗲𝗻𝗱𝗮 𝗸𝘄𝗮 𝘄𝗮𝗹𝗶𝗼𝗺𝗵𝗮𝗱𝗮𝗮.. 𝗡𝗔𝗧𝗢 𝗞𝗼𝗻𝘆𝗼 𝗸𝘄𝗲𝗹𝗶 𝘄𝗮𝗺𝗲𝗺𝘄𝗮𝗰𝗵𝗮 𝗷𝗮𝗺𝗮𝗮 𝗮𝗻𝗮𝗽𝗶𝗴𝗶𝗸𝗮..
 
Hii ni kipindi kile baada ya kushinda uchaguzi 2019 akatembelea majimbo ya Donbas.
Unajitahidi sana kukokota watu
 
Marekani imepiga hesabu zake imeona kuwa Putin atamdaka Rais wa Ukraine ndani ya siku chache mno. Kufuatia hivyo, imeona bora imchukue kibaraka wake huyo (rais wa Ukraine) kwa kumtorosha toka Ukraine ili kumuepushia kifo.

Rais wa Ukraine bwana Zelensky amekataa ofa ya Marekani ya kutaka kumtorosha toka mji mkuu wa Ukraine, Kyiv, uliozingirwa na majeshi ya Putin (Russia) yeye (Zelensky) akiwa ni target Namba 1. Rais huyo wa Ukraine amewajibu Marekani kuwa yeye anataka silaha za vita, sio ndege ya kumtorosha toka Ukraine.

Waswahili walinena SIKIO LAKUFA HALISIKII DAWA
===

Zelensky declines US offer to evacuate Kyiv: 'I need ammunition, not a ride'
Ukrainian President Volodymyr Zelensky was asked to evacuate Kyiv at the behest of the US government but turned down the offer.

Zelensky said in response: “The fight is here; I need ammunition, not a ride,” according to a senior American intelligence official with direct knowledge of the conversation, who described Zelenskyy as upbeat.

Invading Russian forces closed in on Ukraine’s capital on Saturday, in an apparent encircling movement after a barrage of airstrikes on cities and military bases around the country.
Huo ndio uanaume sasa, nyie wengine mnasindikiza
 
Back
Top Bottom