Russia troops wamekufa mno na Twitter wamewafungua Russia wana post propagandaKwa Uharibu uliofanywa hadi sasa unakimbia ili iweje ?
Halaf you should learn war propaganda .
The reality on the ground ni kwamba zaidi ya wanajeshi 4000 wa Russia wameshakufa
Haya mkuu, we endelea kulishwa matango pori kuwa wanajeshi 4000 wa Russia wameshakufa!The reality on the ground ni kwamba zaidi ya wanajeshi 4000 wa Russia wameshakufa
Mbona suruali za hao askari wa Russia ziko chini? Wameliwa kiboga baada ya kutekwa?Hii Vita ni hatari Sana. Kwenye hayo Mazungumzo Kuna kubadilishana Wafungwa wa Kivita.View attachment 2131863
Mwanaume au mpambavu unaipeleka Nchi yako kwenye Vita usiyoiweza halafu unasema Mwanaume,Marais wote waliomtanguliwa unadhani hawakujua madhara ya Ukraine kujiweka kwa Mataifa ya Magharibi.Raisi wa Ukraine ni mwanaume,mwingine angekuwa keshakimbia
NATO
Kama wanajeshi 4000 wa Urusi wamekufa basi wa Ukraine watakuwa wamekufa 40,000Kwa Uharibu uliofanywa hadi sasa unakimbia ili iweje ?
Halaf you should learn war propaganda .
The reality on the ground ni kwamba zaidi ya wanajeshi 4000 wa Russia wameshakufa
Hakuna kitu hapo, ameshaona USA na EU ni wanafki tu, kipindi kile alipowapigia simu viongozi wakuu 27 wa EU na USA kwanini hawakupokea simu hadi waje wasubiri awe kashazingirwa na RUSSIA imebaki kukamatwa tu ndipo atoroshwe nao ilihali tayari maafa ya Askari na Raia wasio na hatia wa UKRAINE washakufa?Raisi wa Ukraine ni mwanaume,mwingine angekuwa keshakimbia
Raisi wa Ukraine ni mwanaume,mwingine angekuwa keshakimbia
We Empty head kaipeleka au kapelekewaMwanaume au mpambavu unaipeleka Nchi yako kwenye Vita usiyoiweza halafu unasema Mwanaume,Marais wote waliomtanguliwa unadhani hawakujua madhara ya Ukraine kujiweka kwa Mataifa ya Magharibi.
Atatafutwa na kuuliwa ksbb zipi?.Hata akikimbizwa atatafutwa na atauliwa
Huo ndio uanaume sasa, nyie wengine mnasindikizaMarekani imepiga hesabu zake imeona kuwa Putin atamdaka Rais wa Ukraine ndani ya siku chache mno. Kufuatia hivyo, imeona bora imchukue kibaraka wake huyo (rais wa Ukraine) kwa kumtorosha toka Ukraine ili kumuepushia kifo.
Rais wa Ukraine bwana Zelensky amekataa ofa ya Marekani ya kutaka kumtorosha toka mji mkuu wa Ukraine, Kyiv, uliozingirwa na majeshi ya Putin (Russia) yeye (Zelensky) akiwa ni target Namba 1. Rais huyo wa Ukraine amewajibu Marekani kuwa yeye anataka silaha za vita, sio ndege ya kumtorosha toka Ukraine.
Waswahili walinena SIKIO LAKUFA HALISIKII DAWA
===
Zelensky declines US offer to evacuate Kyiv: 'I need ammunition, not a ride'
Ukrainian President Volodymyr Zelensky was asked to evacuate Kyiv at the behest of the US government but turned down the offer.
Zelensky said in response: โThe fight is here; I need ammunition, not a ride,โ according to a senior American intelligence official with direct knowledge of the conversation, who described Zelenskyy as upbeat.
Invading Russian forces closed in on Ukraineโs capital on Saturday, in an apparent encircling movement after a barrage of airstrikes on cities and military bases around the country.
Akili za bangi hiziMbona tunaye huku Tegeta tunakunywa naye supu? Jamaa mcheshi sana
Sent from my SM-A022F using JamiiForums mobile app
Tena mwanaume wa shoka, uliona wapi baba anakimbia nyumba anamwacha mama na watoto wapambane wenyeweKabisaaa,huyu mwanaume
Mwingine angeshakimbia au kukubali kutoroshwa!
Marekani imepiga hesabu zake imeona kuwa Putin atamdaka Rais wa Ukraine ndani ya siku chache mno. Kufuatia hivyo, imeona bora imchukue kibaraka wake huyo (rais wa Ukraine) kwa kumtorosha toka Ukraine ili kumuepushia kifo.