Capital G
JF-Expert Member
- Jul 2, 2017
- 3,445
- 5,336
Mzee jamaa kala gwanda yupo wanajeshi wake field.Vita vina propaganda za hatari ukute huyu raisi anaongea hivyo anaelekeza utaratibu wa kupigana kumbe yuko new York tayari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee jamaa kala gwanda yupo wanajeshi wake field.Vita vina propaganda za hatari ukute huyu raisi anaongea hivyo anaelekeza utaratibu wa kupigana kumbe yuko new York tayari
Alaa kumbe👇Kapiga picha za kutupia kwenye mitandao tu ila hama msaada wowote huyu kwa wanaokufa frontline kwasababu ya upumbavu wake
Huo ubavu atautoa wapi na umaskini wake ule?...Russia haijawahi kuitawala Africa kwa Mabavu, hawajawahi kuiba rasilimali zetu, kutesa babu zetu na pia hawajawahi kuivamia Africa kwa vifaru na Mabomu kama NATO na Mataifa ya Ulaya. Napenda Demokrasia ila sipendi Demokrasia inayoenezwa kwa Mtutu wa Bunduki.
Sent from my SM-A022F using JamiiForums mobile app
Labda sio mimi, yaani mtu Kaja kuniua nikamteka afu nisimuue?Haifai kuua mateka kwa sheria za kimataifa.
Tena unatakiwa uwalishe..
Pia ni chanzo kizuri cha kupata siri zao.
Ni sawa,hawakukubali kuacha nchi zao mpk wakafia Kwenye mapambano, na ndo uanaume!Gaddafi na saddam walisema hvy hvy
Ndio hivyo hivyo Hawa wanatakiwa kukatwa vichwaKama wale wa Ukraine wa kisiwani walivyofanywa baada ya kukataa kujisalimisha
Ukiwa trained utaheshimu vinginevyo utafanya uhalifu wa kivita...mara nyingi mateka ni yule aliyejisalimishaLabda sio mimi, yaani mtu Kaja kuniua nikamteka afu nisimuue?
Wanasema ni fake news, wapiganaji wa hapa jfKwa Uharibu uliofanywa hadi sasa unakimbia ili iweje ?
Halaf you should learn war propaganda .
The reality on the ground ni kwamba zaidi ya wanajeshi 4000 wa Russia wameshakufa
Porojo tu hiz
Siku ya 4 leo mnakojpleshwa na hamjaangusha serikali 😬😬Porojo tu hiz
umevuruga post yako kusema kuwa rais wa Ukraine ni kibaraka wa USA na kuonyesha kumshabikia Putin.Marekani imepiga hesabu zake imeona kuwa Putin atamdaka Rais wa Ukraine ndani ya siku chache mno. Kufuatia hivyo, imeona bora imchukue kibaraka wake huyo (rais wa Ukraine) kwa kumtorosha toka Ukraine ili kumuepushia kifo.
Rais wa Ukraine bwana Zelensky amekataa ofa ya Marekani ya kutaka kumtorosha toka mji mkuu wa Ukraine, Kyiv, uliozingirwa na majeshi ya Putin (Russia) yeye (Zelensky) akiwa ni target Namba 1. Rais huyo wa Ukraine amewajibu Marekani kuwa yeye anataka silaha za vita, sio ndege ya kumtorosha toka Ukraine.
Waswahili walinena SIKIO LAKUFA HALISIKII DAWA
===
Zelensky declines US offer to evacuate Kyiv: 'I need ammunition, not a ride'
Ukrainian President Volodymyr Zelensky was asked to evacuate Kyiv at the behest of the US government but turned down the offer.
Zelensky said in response: “The fight is here; I need ammunition, not a ride,” according to a senior American intelligence official with direct knowledge of the conversation, who described Zelenskyy as upbeat.
Invading Russian forces closed in on Ukraine’s capital on Saturday, in an apparent encircling movement after a barrage of airstrikes on cities and military bases around the country.
Basi tufanye rais wa Ukraine ni kibaraka wa Russia, hapo vipi?umevuruga post yako kusema kuwa rais wa Ukraine ni kibaraka wa USA na kuonyesha kumshabikia Putin.
Porojo tu hiz
Mkuu waambie waingie vitani siyo kujificha nyuma kwa kutuma tu silaha.
Punguza Mahaba kijana.Putin ni zaidi ya umjuavyo, Marekani na NATO wanamuelewa vyema zaidi yako. Putin anazungumzwa kuwa hana historia ya kushindwa vita yoyote aliyowahipigana kwa milongo miwili (two decades) aliyokaa madarakani.
![]()
Putin Has Never Lost a War. Here Is How He'll Win In Ukraine
The Russian leader wants to restore Moscow to a position of great power in Eastern Europe—while dealing NATO a humiliating blow.www.newsweek.com
We unadhani hawapeleki wanajeshi? Yaani unaamini wanapeleka silaha na vifaa hivyo na kisha kuondoka?Kama unasubiri watangaze, basi utakuwa na akili kama ya Puttin isiyotambua mbinu kama hizi.Mkuu waambie waingie vitani siyo kujificha nyuma kwa kutuma tu silaha.
Mbona kule Iraq na Libya US na NATO hawakutuma tu silaha, walipeleka wanajeshi?
Au kwa vile Iraq na Libya zilikuwa memba wa NATO?😀🤣😂
Mkuu pole sana.Punguza Mahaba kijana.
Hivi Jinsi USSR alivyofurushwa Afghanstan na Wapiganaji wa Mjahideen na Kurudi Mikono mitupu unajifanya kusahau?
USSR alivamia Ardhi ya Afghanistan mwaka 1976 lakini alipokea Kichapo na Kurudisha Jeshi Nyumba mwaka 1986.
Kwi...kwi...kwi...We unadhani hawapeleki wanajeshi? Yaani unaamini wanapeleka silaha na vifaa hivyo na kisha kuondoka?Kama unasubiri watangaze, basi utakuwa na akili kama ya Puttin isiyotambua mbinu za kivita zisizoonekana wazi wazi na ikishakuwa wazi, basi itakuwa ni teyari too late.
Kama yule jamaa aliyekombia corona na kwenda kujificha chatoRaisi wa Ukraine ni mwanaume,mwingine angekuwa keshakimbia
Inategemea mfano bongo juhudi za kuwapaisha wanawake zimefanikiwa kiasi fulani na vita ikitokea hao wanawake wawe kwenye frontline maana wanaweza.Tena mwanaume wa shoka, uliona wapi baba anakimbia nyumba anamwacha mama na watoto wapambane wenyewe