Sikio la kufa: Rais wa Ukraine, Zelensky, akataa ofa ya Marekani ya kumtorosha Kyiv asikamatwe na Putin

Sikio la kufa: Rais wa Ukraine, Zelensky, akataa ofa ya Marekani ya kumtorosha Kyiv asikamatwe na Putin

Kapiga picha za kutupia kwenye mitandao tu ila hama msaada wowote huyu kwa wanaokufa frontline kwasababu ya upumbavu wake
Alaa kumbe👇

Screenshot_20220226-211954.png
 
...Russia haijawahi kuitawala Africa kwa Mabavu, hawajawahi kuiba rasilimali zetu, kutesa babu zetu na pia hawajawahi kuivamia Africa kwa vifaru na Mabomu kama NATO na Mataifa ya Ulaya. Napenda Demokrasia ila sipendi Demokrasia inayoenezwa kwa Mtutu wa Bunduki.

Sent from my SM-A022F using JamiiForums mobile app
Huo ubavu atautoa wapi na umaskini wake ule?
 
Kwa Uharibu uliofanywa hadi sasa unakimbia ili iweje ?

Halaf you should learn war propaganda .

The reality on the ground ni kwamba zaidi ya wanajeshi 4000 wa Russia wameshakufa
Wanasema ni fake news, wapiganaji wa hapa jf
 
Marekani imepiga hesabu zake imeona kuwa Putin atamdaka Rais wa Ukraine ndani ya siku chache mno. Kufuatia hivyo, imeona bora imchukue kibaraka wake huyo (rais wa Ukraine) kwa kumtorosha toka Ukraine ili kumuepushia kifo.

Rais wa Ukraine bwana Zelensky amekataa ofa ya Marekani ya kutaka kumtorosha toka mji mkuu wa Ukraine, Kyiv, uliozingirwa na majeshi ya Putin (Russia) yeye (Zelensky) akiwa ni target Namba 1. Rais huyo wa Ukraine amewajibu Marekani kuwa yeye anataka silaha za vita, sio ndege ya kumtorosha toka Ukraine.

Waswahili walinena SIKIO LAKUFA HALISIKII DAWA
===

Zelensky declines US offer to evacuate Kyiv: 'I need ammunition, not a ride'
Ukrainian President Volodymyr Zelensky was asked to evacuate Kyiv at the behest of the US government but turned down the offer.

Zelensky said in response: “The fight is here; I need ammunition, not a ride,” according to a senior American intelligence official with direct knowledge of the conversation, who described Zelenskyy as upbeat.

Invading Russian forces closed in on Ukraine’s capital on Saturday, in an apparent encircling movement after a barrage of airstrikes on cities and military bases around the country.
umevuruga post yako kusema kuwa rais wa Ukraine ni kibaraka wa USA na kuonyesha kumshabikia Putin.
 
Putin ni zaidi ya umjuavyo, Marekani na NATO wanamuelewa vyema zaidi yako. Putin anazungumzwa kuwa hana historia ya kushindwa vita yoyote aliyowahipigana kwa milongo miwili (two decades) aliyokaa madarakani.

Punguza Mahaba kijana.

Hivi Jinsi USSR alivyofurushwa Afghanstan na Wapiganaji wa Mjahideen na Kurudi Mikono mitupu unajifanya kusahau?

USSR alivamia Ardhi ya Afghanistan mwaka 1976 lakini alipokea Kichapo na Kurudisha Jeshi Nyumba mwaka 1986.
 
Mkuu waambie waingie vitani siyo kujificha nyuma kwa kutuma tu silaha.

Mbona kule Iraq na Libya US na NATO hawakutuma tu silaha, walipeleka wanajeshi?

Au kwa vile Iraq na Libya zilikuwa memba wa NATO?😀🤣😂
We unadhani hawapeleki wanajeshi? Yaani unaamini wanapeleka silaha na vifaa hivyo na kisha kuondoka?Kama unasubiri watangaze, basi utakuwa na akili kama ya Puttin isiyotambua mbinu kama hizi.

Hata hivyo, naamini Puttin ameshajua kinachoendelea, ila anajishauri cha kufanya licha ya mikwara yake ya hapo awali kwa nchi yoyote itayojiingiza katika huu mzozo.
 
Punguza Mahaba kijana.

Hivi Jinsi USSR alivyofurushwa Afghanstan na Wapiganaji wa Mjahideen na Kurudi Mikono mitupu unajifanya kusahau?

USSR alivamia Ardhi ya Afghanistan mwaka 1976 lakini alipokea Kichapo na Kurudisha Jeshi Nyumba mwaka 1986.
Mkuu pole sana.

Waonekana una shida ya kuelewa maandishi.

Kwanza aliyesema vile (Putin hajawahishindwa vita zake) sio mimi ni chanzo cha habari cha wamagharibi.

Pili wamesema Putin (kama rais wa Russia) hajawahi shindwa vita zake zote, hajawahishindwa mechi zake kwa maneno ya vijana wa kisasa.

Wewe kwa kukurupuka kwako waleta stori za 1976/1986, hivi kipindi hicho Putin alikuwa rais wa Russia? Au wakariri tu kwa kuwa Putin ni rais sasa basi pia ndiye huyo huyo alikuwa rais miaka ya 1976/1986

 
We unadhani hawapeleki wanajeshi? Yaani unaamini wanapeleka silaha na vifaa hivyo na kisha kuondoka?Kama unasubiri watangaze, basi utakuwa na akili kama ya Puttin isiyotambua mbinu za kivita zisizoonekana wazi wazi na ikishakuwa wazi, basi itakuwa ni teyari too late.
Kwi...kwi...kwi...

Mkuu ficha ujinga wako.

Hivi wadhani NATO na US hupeleka majeshi nchi nyinginezo kimya kimya kama vile shit countries zinavyofanyaga?

Kwani Iraq US na NATO walienda kimya kimya? Vipi kule Syria US alipeleka majeshi kimyakimya?

Chukua zawadi zako hizi hapa:


 
Back
Top Bottom