Siku 100 za Rais Samia Suluhu, Tundu Lissu Amsifia sana, ataka maboresho zaidi ya kimfumo

Magufuli atakumbukwa kwa mabaya mengi kuliko mazuri na kama ilivyo ada maovu hufunika mema na yeye alitenda maovu mengi kuliko mema.

Hadi anafariki hakuwahi kutuambia waliko akina Benny Saanane na Azory Gwanda ni doa kubwa ambalo litabaki kuisibu historia ya utawala wake wa kiimla siku zote.
 
Asante sana Mr Bagamoyo. Unifundishe na mimi jinsi ya kubandika link youtube
Ni rahisi mkuu, unakwenda YouTube kwenye address bar ya youtube wakati clip uliyoichagua mfano hii ya Tundu Lissu mwanzo tv inacheza iwe ktk laptop, computer au mobile phone una highlight /tap / copy link kisha una paste link ktk comment au thread yako hapa JamiiForums.

Thank you so much
 
Magufuli atakumbukwa kwa mabaya mengi kuliko mazuri na kama ilivyo ada maovu hufunika mema na yeye alitenda maovu mengi kuliko mema.

Hadi anafariki hakuwahi kutuambia waliko akina Benny Saanane na Azory Gwanda ni doa kubwa ambalo litabaki kuisibu historia ya utawala wake wa kiimla siku zote.
he was simply a killer.
 
Back
Top Bottom