Siku 16 nafanya mapenzi mfululizo na ni Siku ya 8 sijafika kileleni kabisa


Shukran,
Sema sijawai ugua ugonjwa wowote.
Sasa Kama homoni muhimu na kukata hisia mbona hamu ya mapenzi iko juu Sana.

Nilitegemea labda hisia zikate Moja kwa moja
 
Shukran Sana mkuu,
Kesho ntajaribu kufika feri kumuulizia, sijajua kibongo bongo anaitwaje
Anaitwa Sea Horse, Kuna Baharia mmoja uwaulize yupo wapi Huwa ndio anawauza huyo Baharia anaitwa Yesu. Watakusaidia kumpata au mawasiliano yake.
 
Shukran,
Sema sijawai ugua ugonjwa wowote.
Sasa Kama homoni muhimu na kukata hisia mbona hamu ya mapenzi iko juu Sana.

Nilitegemea labda hisia zikate Moja kwa moja

Duh sasa hapo ndo utata,ila ni heri uende hospital tu bila shaka utapata ufumbuzi
 
Grow up
 
Huna nguvu za kiume/ na wanawake ulio nao umewakinai.
 
Mkuu Huyu mtoa mada,kaka angu hela anayo[emoji23][emoji3]
Au humfahamu mkuu?
Na anaitafuta hasa
 
Huwa namshangaa sana huyu jamaa,yeye Mada zake ni Mchepuko wake Mama J tu,yaani sijui muda wa kuandika thread ndefu kama hii huwa unautoa wapi,khaaaaa
 
Hivi inamaana members wote wa JF mna magari? Duh!
Mbona mimi sina?
Maake nyuzi nyingi za sasa gari halikosekani!!
 
Mkuu, kipindi cha nyuma uliwahi tumia viagra, alkasusi mujarabu au mkongo wa majimaji? Tuanzie hapo! Huenda nikakusaidia njia za kutatua tatizo?
 
Duh[emoji848]
 
Kifo hakina guarantee ndugu,
Hata yule aliyepiga pushapu majukwaani alifariki na kumuacha yule aliedhani angefia ikulu. Uhai anapanga mola.
Ndivyo mnavyo jidanganya sio?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…