Nawaza na kukosa majibu ,inakuaje taifa la pili kwa ubora wa kijeshi na zana bora kabisa ,wanapambana na nchi changa kama Ukraine, wanalambishwa sukari? Wengine wanadai anapigana na nchi 30, je ni kweli? Wengine hawakuishia hapo wakadai anapigana na dunia, Mimi sina uhakika maana siko vitani ila kiuhalisia haiingii akilini kabisaaa!Marekani kule Afghanistan alikua na jeshi dogo sana hawakuzid 2000,na vifaa vichache sana ,ila kwa Russia msafara wa km 65, na military personal 150,000 unadai special operation? Kiruuuuuuuuu