Siku 182 za vita: Matukio yote ndani miezi 6 ya vita ya Ukraine na Urusi

Siku 182 za vita: Matukio yote ndani miezi 6 ya vita ya Ukraine na Urusi

Urusi hana uwezo wa kupigana na US, Na US analijua hilo
Ni mjinga pekee ndo anaweza kuhisi urusi anaweza pigana na US, Putin mwenyewe anajua ndo maana anatishia Nuclear ilihali wote wanayo
Hata mwanzo mlisema hawezi ishambulia Ukraine na kafanya hivyo..
Amchokoze tu aone balaa lake
 
Sawa ila ukweli ndo uwo.ajaribu tu kurusha hata jiwe URUSI uwone kama MAREKANI awajamsoma kwenye History kuwa kulikuwa na Nchi inaitwa MAREKANI
Mbona anashambuliwa hadi kwake? Kwani Belgorod ipo wapi? Madepot yanaungua kila siku. Juzi watu wameingia wamelipua mtu na haijatokea chochote mbona mnajisahau sana?
 
Huyo urusi kuwekewa tu vikwazo inaonesha yeye sio supa power akili ya kawaida tu hiyo wala sio rocket science.
Us anapigana na mtu ambae kashikwa mkono mmoja, lkn hana ubavu wa kupambana pasipo kusaidiwa, narudia tena hanaaaa
 
Ushaona kuja jeshi au askari aliyeenda Belgorod?.hata HAMAS uwa wanatupa rocket Israel,ila kufanya ivyo uwezi kusema Hamas wamevamia Israel.

Yeye atangaze kuwa naingiza jeshi kumsaidia UKRAINE uwone kitakachotokea.Afanye kama URUSI alivyofanya SYRIA.Kabda hata jogoo ajawika itakuwa kashachapika,fire zote za AFRICA,ULAYA NA ASIA zitaenda kuzima moto MAREKANI
Mbona anashambuliwa hadi kwake? Kwani Belgorod ipo wapi? Madepot yanaungua kila siku. Juzi watu wameingia wamelipua mtu na haijatokea chochote mbona mnajisahau sana?
 
US anapigana na nani? Us yuko vitani tangu lini? Wewe utakuwa sio mzima kichwani.
Anapigana kimaficho wewe hujui kitu,
Yaani wanaidhinisha mabilioni ya pesa kwa ajili ya kumsaidia Ukraine akili yako inawaza nini apo kwa mfano [emoji1787][emoji1787][emoji1787],
Nitajie nchi nyingine imetenga fedha zaidi ya us
 
Kitendo cha urusi kushindwa kutimiza lengo lake hadi leo kinaonyesha ni jinsi gani Putin kakutana na asichotarajia
 
Back
Top Bottom