Siku 350 bila punyeto wala picha za ngono

Asalam aleykum(AMANI IWE JUU YENU)
Kwanza nianze na kukupongeza Mr ps2 2014 kwa maamuzi mazuri uliyoyachukua japo kila jambo jema haliwezi kukosa wapingaji ata manabii walikuja na mambo mema ila yalipingwa sana na kuwekewa vikwazo kama wadau wengi wanavyotoa comments zao Pili ningependa kutoa ushauri kwa wale waliokua addicted na huu mchezo wa punyeto na wale ambao wameathiriwa na huu mchezo kiasi kwamba tendo na ndoa kwao limekua tatizo na wametumia dawa nyingi bila mafanikio.......
Naanza na ushauri kwanza kwasababu uwezi pata tiba bila kujua mchawi wako ni nani au nn kinapelekea tiba zionekane hazina manufaa kwako...
...... Punyeto imekuwa gumzo mtaani japo ni siri ya mtu binafsi unaweza muona mtu yupo smart ila kumbe ukimkuta anafanya huu mchezo unaweza ukamshusha thamani yake ndani ya dk 1.. Simaanishi kama nawazihaki hapana ila natoa uhalisia wa huo mchezo ndio maana unafanywa kwa siri ya hali ya juu sana
......Usijimezeshe akili ya kuambiwa na watu kuwa uwezi acha uwezi acha utakua mjinga wa afya yako mana muathirika zaidi na aibu utazipata ww na sio hao wanaokupigia kelele kuwa uwezi acha
.... Kuna watu wanatoa ushuhuda kuwa wanapiga punyeto na kwenye tendo wako vizuri...sitaki kuweka ligi au upinzani na hao watu ila usichukue hii point kama ndio muendelezo wa hii tabia my friend itakula kwako.....
.....punyeto inawafanya wanaume wengi kukosa kujiamini japo kila mmoja atakubali au kukataa kwa nafsi yake siwezi kumsemea mtu ila % kubwa huwa inawakumba hali hyo na kupelekea wengine kuogopa ata kukutana na wake zao kisa punyeto maana anaona atadhalilika..
.....Aibu ya kushindwa kuendelea na tendo omba yasikukute au unapiga dk 1_3_5 tayari ushamwaga na mwanamke anaanza kuwa hot wewe tayari aisee icho kitu kisikie kwa mwenzako ila narudia tena omba yasikukute... Unapiga bao moja mheshimiwa kalala ataki kuamka tena na ata akiamka dk ni zilezile za mwanzo aiseeee omba yasikukute.....

Twende pamoja na haya nitakayokuelezea kwa uwezo wake ALLAH utakuwa sawa kabsa baada ya mda utakuja kutoa ushuhuda na utawasaidia wengine kama ninatakavyo kusaidia mm kwenye hili tatizo
NB:maelezo aya ni kwa wale walio serious tu kama utafata maelezo nusu na ukaendelea na huo mchezo usimtafute mchawi...

........ Kuna kauli za watu wengi kuwadhihaki watu wanaotoa ushuhuda kuwa alikua mwanachama wa CHAPUTA ila kafanikiwa kujitoa...
......wanatumia nguvu nyingi kusema haiwezekani kwakua yeye yupo kwenye huo mchezo na hajawaza kujitoa na kama kawaza bhasi ni wale wanaojitoa asubuhi ucku akiwa peke yake anasema ngoja nipige ya kuagia...
....Amini kwamba hakuna kitu kisichowezekana kuachwa mfano... Kuna watu walikua addicted na madawa ya kulevya....wengine pombe,,bangi,,,sigara,,, ila Leo hii kaacha kabsa kanakwamba hajawahi tumia hvyo vitu...
....Kwanza jikataze huu mchezo kwa Imani na ikishindikana hvyo bhasi jikataze kwa kujali afya yako...kama vyote ikishindikana bhasi jikataze kwa kulinda mahusiano yako ....japo sio rahisi ila pambana mwanaume acha kukaa peke yako mda mrefu chumbani,,acha kuperuzi blog za ngono usiruhusu ata kusema ngoja nitazame tu halafu nitoke hisia za ngono zinapokuja huwa hazinaga mbishi utajikuta unafanya tu huo mchezo..SO epuka vitu vyote vyenye kushawishi kufanya huo mchezo...

Mtaniwia radhi kidogo nitaendelea na hii mada naona nashindana na usingizi ...

ITAENDELEA.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera sana kaka kwa maelezo mazuri,ulichosema ni kweli kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiongozi
Punyeto ina Withdrawal Symptoms kama Addiction zingine zote Mf.Cocaine,Video Games,Gambling n.k maana eneo linalo athirika kwenye Ubongo wa Binadamu ndilo hilo hilo linalo husika na Addiction(URAIBU),nina ushahidi na hili 100%.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo ukiacha punyeto unakuwa unasumbuliwa na nini?
 
Kwa hiyo ukiacha punyeto unakuwa unasumbuliwa na nini?
Kiongozi
Ukiacha Kujichua na usifanye Ngono unakuwa na Withdrawal kama Maumivu ya Sehemu za Siri(Blue Ball),Maumivu ya Kichwa,Kubadiika kihisia(Mood Swing),Usingizi usiowakawaida,kutetemeka Mwili,Kichefuchefu,Flatline(umee kutokusisimka kwa Muda Flani) n.k kutegemeana na Mtu.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
 
Kumbe wenye cv kubwa bado tupo 2000 mpaka sasa...nikiwa mbali na wife nakipiga 3xday. Pole sana kwa kusulubu nafsi yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…