Siku 350 bila punyeto wala picha za ngono

Siku 350 bila punyeto wala picha za ngono

Sio mpiga nyeto wewe hivi wewe unaijua punyeto mzee ?

Ukiacha cheto tu death loading.....
 
Wakuu.

Wakati nipo form three mwaka 2013, kuna Mwl wangu mmoja wa Biology alitueleza maana ya kupiga punyeto, faida na hasara zake. Mimi nilimwelewa zaidi kwenye kipengele cha faida, ukizingatia nilikuwa sijui kutongoza mwanamke.

Nimepiga sana punyeto fully karibu kila siku mpaka nikaingia form six. Chuo nikaendeleza japo wakati huo nilishaanza kugegeda, sema tu hii kitu ina utamu wake bhana, ni tamu sana. Muda wowote ukitaka unakojoa bila usumbufu.

Kwa sasa nina watoto wawili na napiga sana mashine, sema nikinywa pombe nakuwa fit zaidi.

Nimeamua kuacha mwenyewe, sijalazimishwa na mtu.

Kila kitu kinawezekana ukiamua.

Sent using Jamii Forums mobile app
Narudia maneno yako kila kitu kinawezekana ukiamua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha uongo. Nyeto unapumzika tu.

Nilipumzika nyeto baada ya kushauriwa na jamaa wangu mmoja baharia ila sikuwa na demu wala sikusaka K (mimi domo zege [emoji16]). Baada ya jamaa wangu baharia kupata umeme huko kwenye harakati za kusaka K. Nikajirudia zangu kwenye nyeto.

Mimi bado mdogo sana, nasoma vitini na sina hela.
Kama unaona ni safi kwako endelea,ila ukiona mbaya mbinu ya kuacha nimekupa hapo juu.kwangu mm ni mbaya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuacha punyeto inawezekana, lakini sio rahisi kufanya hivyo. Njia Bora zaidi ya kuacha punyeto Ni kipambaba na mazingira yanayopelekea kupiga punyeto,,Kama kuacha kutembelea websites zinazoweza kuamsha hisia za ngono.hata hivyo kuacha kutembelea hizo websites ikiwa bado unatumia vifaa vya electronic ni mtihani. ikiwa Ni kweli mtoa mada umekaa muda huo bill kupiga punyeto, unastahili pongezi

Sent using Jamii Forums mobile app,using POP 2 power
 
Ni kweli ulichosema kaka,nashukuru kwa pongezi

Hongera sana mkuu, mimi nilianza punyeto mwaka 1988 hadi nilipooa ndo nikaanza kuacha kabisa, nilioa mwaka 2003 lakini baada ya ndoa wife akiondoka kama siku mbili tu mi napiga punyeto, ila sasa nna miaka sijapiga punyeto, na nikipiga nakuwa kama mgonjwa, hii imenifanya niache kabisa.
Kwa muda wote tangu mwaka 2008 nimetumia sana punyeto, kama kuathirika basi mimi inawezekana nimeathirika, japo sijui kuathirika huko kukoje.
Nilivyokuwa boarding school, Ifunda. Nikagundua kuwa tupo wengi sana wapiga puli, hivyo tukawa sometime tunashindana kwa kufundishana style tofauti, lotion zilikuwa zinaisha si kwa kupaka bali kupigia puli.
Habari wakuu,

Kwa ufupi, nimekuwa nikifanya punyeto kuanzia 2003 mpaka February 2019. Iliniathiri sana kisaikojia na imenivurugia malengo yangu kwa kiwango kikubwa, wengi wanaofanya wanajua fedheha na madhara yake.

Nilijaribu kuacha miaka yote hii lakini nilikuwa nafanikiwa kwa muda mfupi tu; ndivyo wanavyofanya wengi walio katika tatizo hili.

Nikaamua kufanya maamuzi magumu ya kuacha, bila kujali nimeshindwa mara ngapi. Nimekuwa nikijisemea kauli hii "kitu chochote ambacho ukikiacha haufi kinawezekana kuacha" safari ilikuwa ngumu sana hasa siku100 za kwanza, nilishawishika sana katika nafsi yangu kuingia katika tovuti za ngono, lakini nilikaza nafsi na kusonga mbele.

Hivi nashukuru Mungu nimefikisha Siku 350 bila punyeto wala kuangalia picha za ngono, ninafuraha na akili yangu ipo huru zaidi kupambana na maisha. Ujasiri umeongezeka, na mwelekeo na malengo pia, pia ufanisi katika mapenzi upo vizuri bila kusahau mahusiano mazuri na marafiki pamoja na jamii kwa ujumla.

Namalizia kwa kusema kuacha punyeto na picha za ngono inawezekana, sio kwa dawa bali kwa uamuzi wa kweli kutoka moyoni na kujitoa muhanga kutimiza uamuzi wako. Mateso mwanzoni lazima, lakini baada ya muda mwili utazoea maisha mengine, na utakuwa huru hatimaye.

Anything without which you can't die is possible to let it go (chochote ambacho hakikufanyi uishi kinawezekana kuacha)

It is possible to break addiction, but not easy.

Mungu awabariki

Sent using Jamii Forums mobile app

UPDATES

Idadi ya Siku bila picha za ngono wala punyeto mpaka sasa =373 days(mwaka 1 na siku 8)

Naendelea kupambana,japo sasa hivi mapambano ni mepesi sana,yaani ni sawa na timu yako inaongoza kwa goli 6-0,halafu dakika za 75,unacheza kwa ku relax,halafu timu yenyewe unayocheza Nayo ni Liverpool na moto wake ule umeikalisha sita,sema nini pambano hili mwanzoni huwa ni gumu sana unaweza kata tamaa ( never give up) never lose hope,mm nimeweza wewe unashindwaje? Mm ni binadamu kama wewe,Mungu awabariki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera sana mkuu, mimi nilianza punyeto mwaka 1988 hadi nilipooa ndo nikaanza kuacha kabisa, nilioa mwaka 2003 lakini baada ya ndoa wife akiondoka kama siku mbili tu mi napiga punyeto, ila sasa nna miaka sijapiga punyeto, na nikipiga nakuwa kama mgonjwa, hii imenifanya niache kabisa.
Kwa muda wote tangu mwaka 2008 nimetumia sana punyeto, kama kuathirika basi mimi inawezekana nimeathirika, japo sijui kuathirika huko kukoje.
Nilivyokuwa boarding school, Ifunda. Nikagundua kuwa tupo wengi sana wapiga puli, hivyo tukawa sometime tunashindana kwa kufundishana style tofauti, lotion zilikuwa zinaisha si kwa kupaka bali kupigia puli.

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kaka,tupo wengi wenye visa hivi,lakini tutambue kwamba inawezekana kuacha,japo sio kiwepesi hasa mwanzoni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom