marandu2010
JF-Expert Member
- Aug 7, 2010
- 1,201
- 446
Ndugu zangu nimekuja kuihuisha post yangu
www.jamiiforums.com
Leo nimejaaliwa kufikisha miaka 2 miezi 11 na siku 10 tangu niache punyeto na kuangalia picha za ngono.sasa nipo huru na furaha tele
Kikubwa ni kuwapa moyo ndugu zangu mlio katika kupambana na uraibu huu,inawezekana kwa kuamua kwa dhati na kujitoa kwelikweli,maelezo mengine yapo kwenye post hiyo hapo juu
Mungu awabariki na kila LA heri.
Siku 350 bila punyeto wala picha za ngono
Habari wakuu, Kwa ufupi, nimekuwa nikifanya punyeto kuanzia 2003 mpaka February 2019. Iliniathiri sana kisaikojia na imenivurugia malengo yangu kwa kiwango kikubwa, wengi wanaofanya wanajua fedheha na madhara yake. Nilijaribu kuacha miaka yote hii lakini nilikuwa nafanikiwa kwa muda mfupi tu...