Siku 350 bila punyeto wala picha za ngono

Siku 350 bila punyeto wala picha za ngono

Tupo wengi sana ambao tulikuwa addicted, mi nilifanilkiwa kuacha miezi sita, ila siku nilipoanza nikajipimia lwa bao nne za punyeto siku hiyo, ndo sijaacha tena.
Ila nawalaumu sana wanawake wanaokaa uchi, au kutembea huku wamebana matako au kuvaa nguo zinazobana mwili, hawa ndo wanatutega tunaanguka kila siku, waendelee kulaaniwa hawa viumbe.
Mimi nilikaa mwezi mzima bila nyeto nikajua nimeacha kumbe wapi. Siku nakuja kujichanganya naingia Instagram nakutana na picha za Sanchi anacheza ile nyimbo ya hamisa mobeto, kuona tu ule msambwanda nikalianzisha hapo hapo. Natamani sana kuacha huu upumbavu ila nashindwa. Najuta sana kujiingiza kwenye huu ujinga, nakumbuka nilijiunga nanyeto rasmi baada ya kuingia JF na kukuta uzi wa mdau akiisifia nyeto huku akijiita mwenyekiti wa chaputa. Hakika Mungu amuone huko aliko.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba kuuliza sbb ya nyeto ni nini?! Huwezi kutongoza , huna pesa so unaogopa mademu ni gharama au sababu nini haswa embu nielezeni.

Nataka kuzijua sababu haswaaa


Sent from my iPhone using JamiiForums
Kwanza una umri gani! Mi nilianza kupiga nyeto nna miaka 15 yaani balehe imenikuta napiga puli.
Sababu za kupiga puli:
1. Ili kujiepusha a wanawake, kuna consequense nyingi unapokuwa na mwanamke, kuna mimba, magonjwa nk.

2.Kiuchumi..ukianzisha uhusiano na mwanamke kuna kutoana pesa, wakati mimi ninajijenga kiuchumi, mwanamke anakufilisi.

3.Kijamii ,kuanza ngono ukiwa hujaoa ni jambo lisilo na picha nzuri kwenye jamii, majina ya uasherati sio mazuri.Punyeto ni siri, hivyo unaweza kuonekana descent man huku ukipiga punyeto, yaani unaweza usiamini ukiambiwa padri anapiga punyeto. Itabakia siri yako siku zote, ila kujificha na mwanamke ni ngumu sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu toa experience yako ulivyoweza kuacha, kama hujawahi kupiga punyeto naomba usitushauri , mimi hawa walimu kama Motivational speakers huwa wananiudhi, anakufundisha biashara wakati yeye hafanyi biashara, yaani biashara yake ni wewe uliyeenda kumsikiliza na ukatoa pesa kufundishwa. Hakuna u reality na kinachoongelewa.
Asalam aleykum(AMANI IWE JUU YENU)
Kwanza nianze na kukupongeza Mr ps2 2014 kwa maamuzi mazuri uliyoyachukua japo kila jambo jema haliwezi kukosa wapingaji ata manabii walikuja na mambo mema ila yalipingwa sana na kuwekewa vikwazo kama wadau wengi wanavyotoa comments zaoPili ningependa kutoa ushauri kwa wale waliokua addicted na huu mchezo wa punyeto na wale ambao wameathiriwa na huu mchezo kiasi kwamba tendo na ndoa kwao limekua tatizo na wametumia dawa nyingi bila mafanikio.......
Naanza na ushauri kwanza kwasababu uwezi pata tiba bila kujua mchawi wako ni nani au nn kinapelekea tiba zionekane hazina manufaa kwako...
...... Punyeto imekuwa gumzo mtaani japo ni siri ya mtu binafsi unaweza muona mtu yupo smart ila kumbe ukimkuta anafanya huu mchezo unaweza ukamshusha thamani yake ndani ya dk 1.. Simaanishi kama nawazihaki hapana ila natoa uhalisia wa huo mchezo ndio maana unafanywa kwa siri ya hali ya juu sana
......Usijimezeshe akili ya kuambiwa na watu kuwa uwezi acha uwezi acha utakua mjinga wa afya yako mana muathirika zaidi na aibu utazipata ww na sio hao wanaokupigia kelele kuwa uwezi acha
.... Kuna watu wanatoa ushuhuda kuwa wanapiga punyeto na kwenye tendo wako vizuri...sitaki kuweka ligi au upinzani na hao watu ila usichukue hii point kama ndio muendelezo wa hii tabia my friend itakula kwako.....
.....punyeto inawafanya wanaume wengi kukosa kujiamini japo kila mmoja atakubali au kukataa kwa nafsi yake siwezi kumsemea mtu ila % kubwa huwa inawakumba hali hyo na kupelekea wengine kuogopa ata kukutana na wake zao kisa punyeto maana anaona atadhalilika..
.....Aibu ya kushindwa kuendelea na tendo omba yasikukute au unapiga dk 1_3_5 tayari ushamwaga na mwanamke anaanza kuwa hot wewe tayari aisee icho kitu kisikie kwa mwenzako ila narudia tena omba yasikukute... Unapiga bao moja mheshimiwa kalala ataki kuamka tena na ata akiamka dk ni zilezile za mwanzo aiseeee omba yasikukute.....

Twende pamoja na haya nitakayokuelezea kwa uwezo wake ALLAH utakuwa sawa kabsa baada ya mda utakuja kutoa ushuhuda na utawasaidia wengine kama ninatakavyo kusaidia mm kwenye hili tatizo
NB:maelezo aya ni kwa wale walio serious tu kama utafata maelezo nusu na ukaendelea na huo mchezo usimtafute mchawi...

........ Kuna kauli za watu wengi kuwadhihaki watu wanaotoa ushuhuda kuwa alikua mwanachama wa CHAPUTA ila kafanikiwa kujitoa...
......wanatumia nguvu nyingi kusema haiwezekani kwakua yeye yupo kwenye huo mchezo na hajawaza kujitoa na kama kawaza bhasi ni wale wanaojitoa asubuhi ucku akiwa peke yake anasema ngoja nipige ya kuagia...
....Amini kwamba hakuna kitu kisichowezekana kuachwa mfano... Kuna watu walikua addicted na madawa ya kulevya....wengine pombe,,bangi,,,sigara,,, ila Leo hii kaacha kabsa kanakwamba hajawahi tumia hvyo vitu...
....Kwanza jikataze huu mchezo kwa Imani na ikishindikana hvyo bhasi jikataze kwa kujali afya yako...kama vyote ikishindikana bhasi jikataze kwa kulinda mahusiano yako ....japo sio rahisi ila pambana mwanaume acha kukaa peke yako mda mrefu chumbani,,acha kuperuzi blog za ngono usiruhusu ata kusema ngoja nitazame tu halafu nitoke hisia za ngono zinapokuja huwa hazinaga mbishi utajikuta unafanya tu huo mchezo..SO epuka vitu vyote vyenye kushawishi kufanya huo mchezo...

Mtaniwia radhi kidogo nitaendelea na hii mada naona nashindana na usingizi ...

ITAENDELEA.....

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Days so far
Screenshot_2020-02-16-07-51-33.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuna uzi kule jamii photo wa Nyumba ni Choo na wa Happy birthday Mia Khalifa hebu fanya kuzipitia unaweza kunishukuru
 
Aisee ndugu zangu punyeto sio nzuri,japokuwa kuacha Ni ngumu ila ukiamua unaacha,mi nilianza nikiwa kidato Cha nne mwaka 2009 Yani mpaka leo nimeshindwa kabisa kuacha labda nikioa ndio itakuwa rahisi kuacha,imenifanya mwili wangu kuwa na uchovu sugu kila mda kulala lala hasa wakati wa mchana,macho kutokuona vizuri,kusahau sahau ,kukojoa mkojo wa njano nk,kwa asilimia kubwa punyeto Haina faina yoyote kwa kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
daaah watu uzi huu kumbe una wafuasi asee..
punyeto si nzuri asee mbn wanawake wapo wengi, sasa unajipunguzia nguvu mwenyew alaf wadau wakigegeda mkeo au manzi yako unalalamika kuwa wanawake ni wasalit ...kumbe mchawi ni ww....acha kabisa hii mambo

Sent using [Samsung galaxy s10]
 
Mimi nilikaa mwezi mzima bila nyeto nikajua nimeacha kumbe wapi. Siku nakuja kujichanganya naingia Instagram nakutana na picha za Sanchi anacheza ile nyimbo ya hamisa mobeto, kuona tu ule msambwanda nikalianzisha hapo hapo. Natamani sana kuacha huu upumbavu ila nashindwa. Najuta sana kujiingiza kwenye huu ujinga, nakumbuka nilijiunga nanyeto rasmi baada ya kuingia JF na kukuta uzi wa mdau akiisifia nyeto huku akijiita mwenyekiti wa chaputa. Hakika Mungu amuone huko aliko.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahahahahahhaha umenifanya nicheke kwa sauti [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom