King Corbin
Member
- Oct 14, 2019
- 15
- 6
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh! Kwa hiyo mkuu kwa siku hizi 350+ akili yako imeongezeka? Tukutegemee kukuona unachukua tuzo ya nobel?
Pili ningependa kutoa ushauri kwa wale waliokua addicted na huu mchezo wa punyeto na wale ambao wameathiriwa na huu mchezo kiasi kwamba tendo na ndoa kwao limekua tatizo na wametumia dawa nyingi bila mafanikio.......Habari wakuu,
Kwa ufupi, nimekuwa nikifanya punyeto kuanzia 2003 mpaka February 2019. Iliniathiri sana kisaikojia na imenivurugia malengo yangu kwa kiwango kikubwa, wengi wanaofanya wanajua fedheha na madhara yake.
Nilijaribu kuacha miaka yote hii lakini nilikuwa nafanikiwa kwa muda mfupi tu; ndivyo wanavyofanya wengi walio katika tatizo hili.
Nikaamua kufanya maamuzi magumu ya kuacha, bila kujali nimeshindwa mara ngapi. Nimekuwa nikijisemea kauli hii "kitu chochote ambacho ukikiacha haufi kinawezekana kuacha" safari ilikuwa ngumu sana hasa siku100 za kwanza, nilishawishika sana katika nafsi yangu kuingia katika tovuti za ngono, lakini nilikaza nafsi na kusonga mbele.
Hivi nashukuru Mungu nimefikisha Siku 350 bila punyeto wala kuangalia picha za ngono, ninafuraha na akili yangu ipo huru zaidi kupambana na maisha. Ujasiri umeongezeka, na mwelekeo na malengo pia, pia ufanisi katika mapenzi upo vizuri bila kusahau mahusiano mazuri na marafiki pamoja na jamii kwa ujumla.
Namalizia kwa kusema kuacha punyeto na picha za ngono inawezekana, sio kwa dawa bali kwa uamuzi wa kweli kutoka moyoni na kujitoa muhanga kutimiza uamuzi wako. Mateso mwanzoni lazima, lakini baada ya muda mwili utazoea maisha mengine, na utakuwa huru hatimaye.
Anything without which you can't die is possible to let it go (chochote ambacho hakikufanyi uishi kinawezekana kuacha)
It is possible to break addiction, but not easy.
Mungu awabariki
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukimpata demu/mke ambaye yupo available muda wowote ukiwa na uhitaji na ukawa na nia thabiti ya kuacha then siyo kazi ngumu kihivyo.
Kuacha kujichua pekee huku huna mbadala ni mtihani mno.
Tofauti na addictions zingine(drugs& alcohol), punyeto haina withdrawal symptoms hivyo kunaifanya iwe rahisi kuacha.
Asalam aleykum(AMANI IWE JUU YENU)
Kwanza nianze na kukupongeza Mr ps2 2014 kwa maamuzi mazuri uliyoyachukua japo kila jambo jema haliwezi kukosa wapingaji ata manabii walikuja na mambo mema ila yalipingwa sana na kuwekewa vikwazo kama wadau wengi wanavyotoa comments zaoPili ningependa kutoa ushauri kwa wale waliokua addicted na huu mchezo wa punyeto na wale ambao wameathiriwa na huu mchezo kiasi kwamba tendo na ndoa kwao limekua tatizo na wametumia dawa nyingi bila mafanikio.......
Naanza na ushauri kwanza kwasababu uwezi pata tiba bila kujua mchawi wako ni nani au nn kinapelekea tiba zionekane hazina manufaa kwako...
...... Punyeto imekuwa gumzo mtaani japo ni siri ya mtu binafsi unaweza muona mtu yupo smart ila kumbe ukimkuta anafanya huu mchezo unaweza ukamshusha thamani yake ndani ya dk 1.. Simaanishi kama nawazihaki hapana ila natoa uhalisia wa huo mchezo ndio maana unafanywa kwa siri ya hali ya juu sana
......Usijimezeshe akili ya kuambiwa na watu kuwa uwezi acha uwezi acha utakua mjinga wa afya yako mana muathirika zaidi na aibu utazipata ww na sio hao wanaokupigia kelele kuwa uwezi acha
.... Kuna watu wanatoa ushuhuda kuwa wanapiga punyeto na kwenye tendo wako vizuri...sitaki kuweka ligi au upinzani na hao watu ila usichukue hii point kama ndio muendelezo wa hii tabia my friend itakula kwako.....
.....punyeto inawafanya wanaume wengi kukosa kujiamini japo kila mmoja atakubali au kukataa kwa nafsi yake siwezi kumsemea mtu ila % kubwa huwa inawakumba hali hyo na kupelekea wengine kuogopa ata kukutana na wake zao kisa punyeto maana anaona atadhalilika..
.....Aibu ya kushindwa kuendelea na tendo omba yasikukute au unapiga dk 1_3_5 tayari ushamwaga na mwanamke anaanza kuwa hot wewe tayari aisee icho kitu kisikie kwa mwenzako ila narudia tena omba yasikukute... Unapiga bao moja mheshimiwa kalala ataki kuamka tena na ata akiamka dk ni zilezile za mwanzo aiseeee omba yasikukute.....
Twende pamoja na haya nitakayokuelezea kwa uwezo wake ALLAH utakuwa sawa kabsa baada ya mda utakuja kutoa ushuhuda na utawasaidia wengine kama ninatakavyo kusaidia mm kwenye hili tatizo
NB:maelezo aya ni kwa wale walio serious tu kama utafata maelezo nusu na ukaendelea na huo mchezo usimtafute mchawi...
........ Kuna kauli za watu wengi kuwadhihaki watu wanaotoa ushuhuda kuwa alikua mwanachama wa CHAPUTA ila kafanikiwa kujitoa...
......wanatumia nguvu nyingi kusema haiwezekani kwakua yeye yupo kwenye huo mchezo na hajawaza kujitoa na kama kawaza bhasi ni wale wanaojitoa asubuhi ucku akiwa peke yake anasema ngoja nipige ya kuagia...
....Amini kwamba hakuna kitu kisichowezekana kuachwa mfano... Kuna watu walikua addicted na madawa ya kulevya....wengine pombe,,bangi,,,sigara,,, ila Leo hii kaacha kabsa kanakwamba hajawahi tumia hvyo vitu...
....Kwanza jikataze huu mchezo kwa Imani na ikishindikana hvyo bhasi jikataze kwa kujali afya yako...kama vyote ikishindikana bhasi jikataze kwa kulinda mahusiano yako ....japo sio rahisi ila pambana mwanaume acha kukaa peke yako mda mrefu chumbani,,acha kuperuzi blog za ngono usiruhusu ata kusema ngoja nitazame tu halafu nitoke hisia za ngono zinapokuja huwa hazinaga mbishi utajikuta unafanya tu huo mchezo..SO epuka vitu vyote vyenye kushawishi kufanya huo mchezo...
Mtaniwia radhi kidogo nitaendelea na hii mada naona nashindana na usingizi ...
ITAENDELEA.....
Sent using Jamii Forums mobile app
KiongoziUkimpata demu/mke ambaye yupo available muda wowote ukiwa na uhitaji na ukawa na nia thabiti ya kuacha then siyo kazi ngumu kihivyo.
Kuacha kujichua pekee huku huna mbadala ni mtihani mno.
Tofauti na addictions zingine(drugs& alcohol), punyeto haina withdrawal symptoms hivyo kunaifanya iwe rahisi kuacha.
Hayo ni mawazo na imani yako kaka,mm sins hayo mawazo na imani yangu haiko hivyo,ndio maana nasonga mbele.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo ukiacha punyeto unakuwa unasumbuliwa na nini?Kiongozi
Punyeto ina Withdrawal Symptoms kama Addiction zingine zote Mf.Cocaine,Video Games,Gambling n.k maana eneo linalo athirika kwenye Ubongo wa Binadamu ndilo hilo hilo linalo husika na Addiction(URAIBU),nina ushahidi na hili 100%.
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya nayaheshimu mawazo yako,lakini ninayaheshimu zaidi mawazo yangu,kwa sababu ningekuwa na mawazo yako nisingefika hapa nilipofika,mawazo yangu yamenifikisha hapa na sitorudia tena huu upuuzi.Sio tu mawazo yangu.
Bali Ndio ilivyo.
KiongoziKwa hiyo ukiacha punyeto unakuwa unasumbuliwa na nini?
mjumbe ludi tumeku miss
Hapo zamani Za kale Nikiwa mJumbe 😂😂😂
Taulo safi, Picha ya Sanchi World Butt kwa Kichwa, mafuta ya nazi au petroleum jelly, unakaa mkao wa kula 😋, ukiona vipi unaongezea na mate weee, hakuna bao tamu kama la nyeto. Unabalance size unavotaka, unataka bwawa au dimbwi au bahari au size ya mdomo wa chupa ya Coke, wewe tuu paap unajipimia! 😂😂😂
Hapo zamani za kale.