Siku 40 bila mwamba: Ulituheshimisha sisi wanyonge na masikini, pumzika kwa amani Hayati Dkt. Magufuli

Mtoa uzi kaukimbia uzi wake? Wanyonge bwana wanafanana na mataahira
 
Naungana na wewe ktk kumbukumbu ya 40 mkuu.
Lakini hivi ni kweli kwamba wewe ni mnnyonge? Kwa namna hata ulivyoandika unaonesha ni mtu flani smart hivi, unyonge unatoka wapi mkuu kazi ziendelee tu Mzee baba.
Mwenyezi Mungu ampumzishe kwa amani hayati JPM.
 
Naungana na wewe ktk kumbukumbu ya 40 mkuu.
Lakini hivi ni kweli kwamba wewe ni mnnyonge? Kwa namna hata ulivyoandika unaonesha ni mtu flani smart hivi, unyonge unatoka wapi mkuu kazi ziendelee tu Mzee baba.
Mwenyezi Mungu ampumzishe kwa amani hayati JPM.
 
Siku 40 bila kuambiwa "kaeni na mavi yenu nyumbani msichafue vyoo vya serikali".

Nyumbu hamtakagi kuambiwa ukweli, magu alikuwa anawachana live. Unakuja na kinyesi chako unataka ukanye kwa garama unayo taka wewe??.

Mlizani kuna shangazizenu wa kusafisha kinyesi chenu kwa pesa kidogo, aisee.
Alisha waambia hakwenda ikulu kutafuta mke so no kubembelezana.

R.I.P Jembe.
 
Unyonge na umasikini sio sifa, kwahiyo tusivi promote kama vile ni sifa. Hata hili neno wanyonge halina mantiki kulitumia.
Awamu ya tano ndiyo iliyozalisha watu wanaoitwa wanyonge. Na baadhi yao mpaka sasa wanaona ni sifa kuitwa wanyonge. Hawa watu wanahitaji ukombozi wa kifikra, TZ hatuna wanyonge.
 
Mgufuli nyumbu wa level ya Ph.D.Na wewe unamfuatisha mwanafunzi wake.

Kagomea chanjo, kagomea barakoa, daflao limemchukua.

Kuna namna ya kuwahamasisha wananchi wachukue responsibility bila kusema maneno ya kunya kama alivyokuwa anasema yule mshenzi.

Rais gani anaongea maneno ya kunya, literally.

Magufuli aliushusha hadhi sana urais wa Tanzania kwa maneno yake machafu.

Na wewe ukiwa mtu uliyezoea kutukanwa hivyo wala huwezi kujua kwamba rais hatakiwi kuongea hivi.

Unakuwa kama mtu uliyeishi karibu na choo miaka mingi, hata harufu chafu ya choo umeizoea na kuiona ya kawaida.

Magufuli Mungu wako kashakufa, kama unampenda sana mfuate.
 
Hayo yote aliyafanya kwa manufaa yake pia.
 
Kwa comments hizo umejua hisia za walio wengi. Usije Tena na upuuzi huo.
 
Taifa la Tanzania bado lipo na watu wanaendelea na maisha yao kama kawaida.

Atukuzwe Bwana Mungu !
 
Lakini Mungu anatisha sana jamani,
tumuogopeni sana na kushika mafundisho yake.

Tuishi kwa kutendeana kwa haki.

Mungu ni mwenye haki. Anapendezwa na matendo ya haki na siyo udhalimu.
 
mleta mada ameacha kudemka kwa kuweka mawasiiliano na kisomo chake mwishoni mwa uzi. Bila shaka kasoma za nyakati .
 
Yani hata mtu alindwe na majeshi na vifaru , hata awe na pesa na almas au dhahabu, hata awe na Mamlaka kubwa kuliko lakini Mungu sijui siri zake anazijua yeye mwenyewe hakika na hatima ya kila mwanadamu.

Tuwafundishe wana na watoto wetu kumcha Mungu (Kumuogopa Mungu) kwa kuishi kwa kutenda haki hata kama kwa gharama kubwa namna gani.
 
Mtaani ni kama tz ilipata uhuru march 2021 ni fulu burudani
 

Na bado mtazihesabu siku sana na hatarudi ng'oooo! Hapo mkubali matokeo badilikeni tu.
 
Wanyonge jogoo halipandi mtungi..acha ufala tunakula huku wake zao Nani mnyonge ???na watoto wao pia...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…